Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Kwa sasa najua hata nikihamia ccm sitadumu zaidi ya miezi miwili.nitatimuliwa au kutekwa na majambazi
Nimejaribu kuangalia sifa za wabunge,viongozi na mawaziri wengi wa ccm. Kwa sasa sina. Ikitokea bahati mbaya nikapata matatizo ya kufikiri naamini ntakuwa nakidhi vigezo vya kuwa kada wa CCM. nikiwaona weng ya wabunge na mawaziri wa ccm nataman niwe na akili kama zao.
Nawahusudu sana akina goodluck mlinga, akina livingstone lusinde,lucy mayenga, ally kessy. Nataman niwe na akili kama zao halafu nihamie CCM nami nile raha kama wao.
Ikitokea bahati mbaya nikapata matatizo ya kufikiri chama kitakachonifaa ni ccm naamini huko ntamalizia maisha yangu kwa raha kabisa na kupumzisha akili.
Mungu apishie mbali jambo hili. Amina.