Siku nikipata mpenzi itakuwa hivi

Siku nikipata mpenzi itakuwa hivi

Ikitokea nikaanza tena mahusiano ,sitapima tena ngoma nimechoka hata damu itaisha sasa. Nishapimana saana.
Nifanyeje wadau nibaki single forever au nifanyeje Na condomu zina cancer?
Nimewaza tu Leo kuhusu my future husband
We Chakubanga si ulisema umepata mume wewe? Au unauza nyapu??
 
Endelea kupima siyo vizuri kuanza vizuri na kumaliza viabaya
Kama umejitahidi kupima huko ulikotoka basi endelea na moyo huo huo
 
Mi kila siku nakuambia tuungane tuoane Chap unasuasua sasa itakuaje unadhani [emoji23]
 
Maana yake huwa unapima kila ukiwa na baby mpya.
Hadi unahisi damu itaisha maana yake unapima kila Mara na kiswahili ni kwamba kila mara unakuwa na wanaume wapya.
Kwa nini unakuwa unawabadilisha? Unawaacha au wanakuacha?

Ushauri wewe tulia na mmoja.
Kama ww si wakili basi umekimbia fani
 
Miss natafuta komaa kumuimba mungu atakupa mume wa kufanana na ww
 
Baki njia kuu tu aisee jamaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom