Siku nikipata mpenzi itakuwa hivi

Siku nikipata mpenzi itakuwa hivi

Ikitokea nikaanza tena mahusiano ,sitapima tena ngoma nimechoka hata damu itaisha sasa. Nishapimana saana.
Nifanyeje wadau nibaki single forever au nifanyeje Na condomu zina cancer?
Nimewaza tu Leo kuhusu my future husband
Aliyekuambia condom inasababisha cancer mwambie akuonyeshe vyeti vya udaktari alivyopata baada ya kugraduate
 
Ikitokea nikaanza tena mahusiano ,sitapima tena ngoma nimechoka hata damu itaisha sasa. Nishapimana saana.
Nifanyeje wadau nibaki single forever au nifanyeje Na condomu zina cancer?
Nimewaza tu Leo kuhusu my future husband
Pole sana mamie ningekuwa sijachukuliwa ningedeal na ww.
 
Toka zako huko! Hiyo Habari ya Condom umeitoa wapi? Acha unafiki uende peponi!
IMG_20181018_171913.jpg
 
He kumbe bado hadi leo hujampata anaekufaa. Punguza vigezo utampata tu. Ila hilo shart la kupima VVU ni muhimu sana usiache kupima - Bado JF tunakuhitaji. Tone moja tu la damu halipunguzi kitu mwilini mwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom