mukama talemwa
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 160
- 28
Hi wataalamu wa sheria naomba kujua ni siku ngapi zinazoruhusiwa kisheria kuwa umekata rufaa mahakama kuu.Na zinaanza kuhesabiwa wakati gani yaani kuazia tarehe ambayo umupata hukumu au siku ambayo hukumu imetolewa.