Siku moja na Sir Andy Chande

Leo ndio siri imefichuka, ni wazi Dr Dau amewabeba sana ndugu zake katika imaani hasa huyu Mzee Mohammed Said, karani ambaye alikuwa na access ya kuingia hadi board meeting.
Hahahahahahhahahahhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
lile lenye ghorofa tulikuwa tunaliita kichwa cha d*ck
 
Haya Maalim...
 
Eti Mange Kimambi daah...haya mkuu pamoja.
 
Ikawa sasa nimemfahamu Chande kutoka kwa mwanachama mwenzake wa hiyo ‘’club,’’ yao. Siku moja nikamuuliza mzee wangu, ‘’Hii ‘’club,’’ yenu ni ‘’club,’’ gani?’’ Akanitazama usoni huku kakunja uso akaniuliza, ‘’Wewe unaitakia nini?’’

Sikuuliza tena hilo swali lakini iko siku akanitajia.,...........

" Ndugu Mohamed hapa umeniacha....hiyo siku alikutajia hiyo " club" ni club chenye kujishughulisha na nini....! ukizingatia sheria zake kuwa ni kali... please dadavua kidogo hofu ituondoke kuwa hicho ni chama kams kile cha devil woshiper...... tukisikiaga huko kuna sheria kali kali sana.....
 
Kambona ndie aliwaambukiza uongo na uzushi wapinzani
Tuliambiwa gesi inatoka mtwara inakwenda bagamoyo hivyo wakazi wa mtwara waasi,operesheni iliongozwa na JJ mnyika
 
Nakumbuka sana zamani tuliaminishwa Saab Scania ni investment ya Nyerere pia.

I don't buy this nonsense.
Mkuu yaani Taifa letu linasikitisha sana.

Watu hawana muda wa kutafuta ukweli au kufikiria zaidi, wana muda wa kupiga majungu na kuendeleza uongo.

Leo akisema Mtu Matola anamiliki Serena Hotel wapo watakaoamini,'tuliambiwa'

Huyo anayezungumzia Nyerere, Kawawa, Jamal kuficha mapesa hana mstari hata mmoja wa kutetea hoja yake. Anachojua 'Kambona alisema'.

Hata kama Kambona angesema Kawawa alikuwa Jambazi kabla ya siasa, ataamini tu

Akihadithiwa Nyerere aliwahi kupeleka posa ya Malkia, ataamini. Kaambiwa na fulani

Akiambiwa Amir Jamal alikuwa waziri mkuu wa India kabla ya kuja Tz, ataamini
 
Kambona ndie aliwaambukiza uongo na uzushi wapinzani
Tuliambiwa gesi inatoka mtwara inakwenda bagamoyo hivyo wakazi wa mtwara waasi,operesheni iliongozwa na JJ mnyika
We hujui chochote!tulia uelimishwe.
 
Interesting... Tanzania belongs to the most high God!
 
waliharibu vipi hao mpaka ikahitajika visa kwenda kwa Malkia?
 
Mzee wetu Mohamed Said asante kwa kutujuza ya Chande, hakika alikuwa mzalendo. Pia sasa nafahamu wewe na Dr. Dau mmetoka mbali, ndiyo maana mnaliliana. Kweli wazee wa Kariakoo siwawezi, mpo tofauti lakin hadithi yenu moja.
ahaaaaa una utani na dr dau wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…