Zidumu fikra za mwenyekiti wa chamaNa ' Mwanamume ' anawanyoosha kweli.
Ni kweli yamenikwaza. Zungumza kwa staha MkuuOh kumbe ndio lile fala lililo tia watu kizuizini...
Samahani kama maneno yangu yatakukwaza Petro
Acha double standardHata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Mi sio mnafiki, ukweli unabaki kuwa ukweli, Sina chuki kama wewe mchina,Ila upinzani ni roho, tena roho inayotoka kwa shetani, ukiwa nayo utatumia vivuli vingi kupinga kila kitu, ndio asili yake.Asili ya mtanzania ni mnafiki na wewe ni mmoja wapo.
Mumeo eti!!Na ' Mwanamume ' anawanyoosha kweli.
Mi sio mnafiki, ukweli unabaki kuwa ukweli, Sina chuki kama wewe mchina,Ila upinzani ni roho, tena roho inayotoka kwa shetani, ukiwa nayo utatumia vivuli vingi kupinga kila kitu, ndio asili yake.
Kama kulala rumande ni kupaishwa basi na wewe kalale uuone muziki wake...!!!!Naona umefurahi sana ulivyomuweka ndani? Haya ridhika na roho yako.
Ila mnazidi kumpaisha kuliko kumshusha.
Sina staha kwa mambo ya kipumbavu mkuu.. Ndio maana nikatanguliza samahaniNi kweli yamenikwaza. Zungumza kwa staha Mkuu
Hivi kashfa hapo ipo wapi. Na nini maana ya kashfa kisheria?Huyu dogo mimi namchukulia kama mtu wa mzaha mzaha. Anawachuuza watanzania kwa kuwaambia uoga ndio umetufikisha hapa na kuhimiza watu wasiwe waoga kumbe yeye ndiye muoga number one,analiamsha dude halafu anakimbilia kujificha kwa mama, bado najiuliza pia kama huyo mama nae ni mtu serious na inaashiria malezi ya mama ndiyo yamemfikisha hapo alipo,mtoto wa kike ana guts za kusimama hadharani kumkashifu Rais wa nchi halafu anakimbilia kwa mama! Lakini pia najiuliza kama huyo mama nae hakustahili kubebwa kwa kosa la kumficha mhalifu huku akijua kuwa anatafutwa na dola,alifaa kuchukuliwa kwa "Tanganyika jeki" apelekwe nae akapewe ujumbe wa MAMA MKANYE MWANAO.
Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
Mnamuheshimu nyie tu, wengine tunamuona mtu wa hovyo hovyo tuUkome kumuita Rais wetu wa JMT ' Kinyago ' sawa? au undhani na sisi hatuyajui ' mapungufu ' na ' madhaifu ' ya Edward N. Lowassa? Rais aheshimiwe tafadhali sawa? Yaani kabisa unamuita Rais wetu Kinyago? Umeshaharibu siku yangu tayari. Nitarudi.
Acha kujitoa ufahamu mkuu, wewe unaweza kumwambia mzazi wako "una tabia za hovyo" halafu akakuvumilia? Anaposema ipo siku Rais atawaambia wake kwa waume watembee vifua wazi ni kama anataka kutuaminisha nini?Hivi kashfa hapo ipo wapi. Na nini maana ya kashfa kisheria?
Kuwa na adabu wewe, ningekutana na mama yako kabla ya baba yako huenda ungekuwa mwanangu.Hivi shule bado hazijafunguliwa?
Huku unatupa njia ambazo anazopaswa kufuata iwapo anataka kumpinga Rais pia itatusaidia pia sie wananchi wa kawaida maana hata mie nikikuta kitu kinajadiliwa kuhusu serikali huwa naogopa kuweka inputs nahisi kama wana usalama wapo jiraniHalima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
Hawa vijana wa Gwajima bana..... Mnaendeleza tu chuki kwa MaguKwahiyo Rais ana ruhusiwa kushambulia wenzake lakini wengine hawaruhusiwi kumshambulia?
Aheshimiwe vipi wakati yeye haheshimu waliomuweka pale kwenye kiti cha Ukulu?Ukome kumuita Rais wetu wa JMT ' Kinyago ' sawa? au undhani na sisi hatuyajui ' mapungufu ' na ' madhaifu ' ya Edward N. Lowassa? Rais aheshimiwe tafadhali sawa? Yaani kabisa unamuita Rais wetu Kinyago? Umeshaharibu siku yangu tayari. Nitarudi.
Hivi kwa hawa sisiemu wanaiishi chuki, fitna na kila aina ya udhalili unataka wafanyiwe ustaarabu? Aisee, si kwa hawa makinikia!Huyo dada analeta mipasho .....siasa za kizamani hizo ....wtz wanaheshimu mwanasiasa anayechalenge serekali kwa njia za kistaarabu ....