Siku mbaya JF

Inshallah!
 
Watu wa mtandaoni wasiharibu siku yako, wengi huwa na stress za umasikini unaotokana na kukosa shughuli ya kuingiza pesa ya uhakika...

Mtu mwenye pesa huwezi kuta anapoteza muda kutukana tukana...
Mtu mwenye pesa huwezi kuta anapoteza muda kutukana tukana...[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja
 
Kwani ukila ban baada ya muda GANI wanakufungulia
Na vigezo VYA kupigwa ban ni vp??
Abusive language. Mimi ilikua ya Sikh 3. Ban inavary kutokana na uzito wa kosa ban ya pili kuna member nilimtupia lugha mbaya Medecin nyingine pia nilitumia lugha mbaya pia kwenye uzo wa jamaa mmoja hivi
Nilichojifunza don't take everything personal maisha ya humu jf in feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…