Siku kuu hii tukae majumbani au twende tukajirushe?

Siku kuu hii tukae majumbani au twende tukajirushe?

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,242
Kila inapofika sikukuu ni watu wachache sana wenye kazi maalumu ndiyo huwa hawako kwenye mapumziko ya kikazi. Lakini watu wengi sana hutumia siku za siku kuu kutembelea ndugu zao au kufanya kazi ambazo kutokana na kutingwa na kazi hushindwa kuzifanya.

Lakini kwenye siku kuu ni vizuri kubakia nyumbani na familia yako, kutoka nayo kwenda maeneo ya jumuiya kufurahia, au wazazi (mke na mume) watoke na kwenda viwanja kujirusha? Nipe uzowefu wako.
 
siku ya sikukuu mchana
ni kukaa na familia!
usiku wazazi kujirusha mpaka kuchee!
jumatatu kulala siku nzima!
jumanne job!hiyo ni ratiba yangu lol!

 
Hivi jembe langu likowapi .. Mie naenda panda maharage kabla mvua hazijakata!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom