Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Ni ukweli. Na ni ukweli kwamba Magufuli naye anahusika katika kuiozesha nchi maana amekuwa kiongozi mwandamizi kwa miaka zaidi ya 20.Nyie watu acheni mahaba nchi hii ilioza haswa kwani uongo
Ni ukweli. Na ni ukweli kwamba Magufuli naye anahusika katika kuiozesha nchi maana amekuwa kiongozi mwandamizi kwa miaka zaidi ya 20.Nyie watu acheni mahaba nchi hii ilioza haswa kwani uongo
Bashite hoyeeeeeeeHata msemeje, JK, hakufaa kuwa Rais, ukiniuliza mimi JK. kafanya nini ndani ya miaka 10 yake nitakuonesha UDOM tu na Rock City Mall ya Mwanza, sioni kitu kingine...
JK. alifanya vitu vyepesi mno, na muda mwingi akautumia ughaibuni, acheni ujinga...
Magufuli ndiye Rais, na namkubali kupita kiasi, nchi ilitakiwa ipate Rais kama huyu, manufaa ya uongozi wake wengine mtaanza kuyaona baadae...
ila najua wengine humu njaa ndo inawasumbua, fanyeni kazi acheni kuandika-andika humu haiwasaidii chochote....
Kaazi kwelikweli. In fact alikuwa sehemu ya hicho anachokilalamikia, kwa nii hakurekebisha akiwa ndani humo?Anachokonoa bomba la maji taka we subiri mkwere aseme
Wacha masikio yaliyozoea kusikia uongo mtamu yaanze kujifunza kusikiliza ukwel mchungu.....ukwel Siku zote unauma Ila unatibuMatamanio yangu ni kuona maraisi wastaafu na viongozi wengine wastaafu, kwa namna fulani wanaingilia uongozi huu na kumuweka kwenye mstari sahihi huyu JPJM. Binafsi Nina was I wasi sana kama kweli anafanya maamuzi ya kimkakati. Naona anakuwa reactive badala ya kuwa proactive. Hotuba zake ni zile zile siku zote toka 2015 wakati wa kampeni.
Huyu 'mtukufu' ni lini atasema maneno ya kutia moyo na kuwaunganisha watanzania badala ya kuwagawa?
Ni lini atakapofariji badala ya kuumiza?
Ni lini atakapotenganisha kazi take, kama raising was JMT na kazi take kama mwenyekiti was ccm?
Ni lini atakapokoma kuwachukulia 'wapinzani' kama maadui na wasaliti na kuwachukulia kama wabia was maendeleo?
Ni lini atakapoacha mihimili mingine ifanye kazi take kwa Uhuru?
Nafikiri wakati ni muafaka kwa wenye hekima kuvunja ukimya na kumrejesha 'mtukufu' mstarini, kwa siri au uwazi.
Nchi hii inapelekwa kusiko na mwisho wa siku historian itatoa hukumu ya haki kwa serikali ya JPJM; lakini sisi tunaokaa kimya na kuendelea kuacha nchi hii ipelekwe kusiko kwa kuogopa tu "kinyago tulichochonga wenyewe", historia itatuhukumu bila huruma adhabu Kali tutaipata toka kwa kizazi kijacho.
Time will tell!
Enzi hizo ulikuwa na umri gani kiongozi? Inaonesha hujui chochote kuhusu mwalimu enzi hizo!! Kawaulize vizuri jinsi alivyokuwa anawachachafya!!Siasa ndivyo zilivyo. Mwalimu alikaa kimya Enzi za Mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi alikaa kimya enzi za Mkapa. Mzee Mkapa alikaa kimya enzi za JK. JK ana busara. Sidhani kama atafanya kosa kama hilo la kubwatuka huko uraiani.
Anajua ukubwa wa kiti kile na jinsi ilivyo ngumu kukitingisha ukishapiga hatua moja nje.
Nilikuwa MachenjeEnzi hizo ulikuwa na umri gani kiongozi? Inaonesha hujui chochote kuhusu mwalimu enzi hizo!! Kawaulize vizuri jinsi alivyokuwa anawachachafya!!
Mstaf yeyote mwenyekujuwa hawezi kujibizana namamlaka iliyomadarakani kufanya hivyo nikuleta hatari kikwete nimsafi ndio maana hana kesi wala tuhuma mingine ni sawasawa na msemo upo huku mtu kashindwa mwenyewe kulala anasingizia tandiko madaraka unayo kilakitu unacho wewe ndio wa kuteuwa kila kitu nikulalamika tu wanipishe Mimi waone mtu sijui hajui maana yakubadilisha uongozi nikubadili kile ulichokua undhani kinatuchelewesha kwenda haraka sio kutupiana harufu mbaya na njema hatajwiKwa taarifa yako Kikwete angekuwa msafi wangalau angeweza kuongea hata kwa kujikaza. Lakini kwa mujibu wa mwenendo wake hana atakachozungumza. Sana sana naye atakuwa na fake ID yake hapa jukwaani akikosoa kama sisi. Huyu jamaa ni shida kukutoa nishai ni dakika na hajiulizi mara mbili. Si unaona vijembe vyake kwa hao wastaafu, unadhani akinyanyua kinywa chake ndio hapo ataweka katiba pembeni na kumshughulikia na hakuna chochote atamfanya.
Mkumbushe dogo huyu....HAIWEZEKANI KAMA TAIFA TUSIJUWE TUNAKWENDA WAPI....MTU ALALE NA MKEWE KESHO AAMKE ATUAMBIE ALIYOAMBIWA NA MKEWE...HAIWEZEKANI. hilo dongo alipigwa mzee mwinyi.
UTANDAWAZI SIJUI GLOBALIZATION NI UONGO TUU...HILA ZA MABEBERU...UNAUZA NBC BANK KWA WAZUNGU UNADHANI UNAWEZA KUFUNGUA BRANCH YA BANK ZAKO PALE NEW YORK?....Dongo la che nkapaaa.
Mwalimu hakuwahi kumuacha mtu aliyejisahau hapo ikulu akalipoteze taifa alilolipigania kulikomboa...ALIONGEA TENA KWA SAUTI NA BILA KIFICHO.
JK NA WEWE INUKA PAZA SAUTI YAKO KUPINGA ULIYOYAJENGA NA KUSIMAMIA YASIBOMOLEWE...HANA ANACHOWEZA KUKUFANYA UNALINDWA NA KATIBA.
Huyu si ndo kutwa kucha mlimuita dhaifu?Na mkwere akijaa upepo hua anamwaga maneno ya kejeli sana hahhah, yan anaongea kiulainiiii lakin mkuki unachoma moyo acha kabisa
Ni kweli huoni upanuzi wa mitandao,huoni ongezeko la shule za sekondari na msingi,huoni ongezeko la wanufaika na mikopo, huoni ongezeko la salary kwa 100% na kwa k8la mwaka, ujenzi wa daraja la kigamboni,upanuzi wa barabara nchi nzima ukijumlisha maraisi wote kabla yake hawafikiii idadi ya kilomita alizojenga,yote haya huyaoni???? Kwelii? ??Hata msemeje, JK, hakufaa kuwa Rais, ukiniuliza mimi JK. kafanya nini ndani ya miaka 10 yake nitakuonesha UDOM tu na Rock City Mall ya Mwanza, sioni kitu kingine...
JK. alifanya vitu vyepesi mno, na muda mwingi akautumia ughaibuni, acheni ujinga...
Magufuli ndiye Rais, na namkubali kupita kiasi, nchi ilitakiwa ipate Rais kama huyu, manufaa ya uongozi wake wengine mtaanza kuyaona baadae...
ila najua wengine humu njaa ndo inawasumbua, fanyeni kazi acheni kuandika-andika humu haiwasaidii chochote....
Wamefika mahala wanatukana kwamba wanawashwa, kweli akutukanaye hakuchagulii tusiTulishuhudia wakati wa kampeni mgombea akimponda kiongozi aliyekuwa madarakani.Tukajiuliza lakini tukaona inaweza ni mbinu wametengeneza ili kupata ushindi.
Ushindi umepatikana lakini kila siku awamu iliyopita inasimangwa,inapondwa na inakejeliwa wakati anayeponda alikuwa humo humo.Wanadiriki kusema "nchi ilioza" wakati walikuwa sehemu ya kilichosababisha uozo.
Kauli hizi zitavuka threshold value na wanaojua kusema wakiamua kusema nchi itasimama.
Mungu mpe busara la sivyo,mmh.
Aliye yasema hayo ni ccm mwenzenuSiyo Lowasa tena? Nilifikiri Nchi inasubiri TAMKO la Lowasa, kumbe imekuwa Kikwete tena?
Taka taka hiiHata msemeje, JK, hakufaa kuwa Rais, ukiniuliza mimi JK. kafanya nini ndani ya miaka 10 yake nitakuonesha UDOM tu na Rock City Mall ya Mwanza, sioni kitu kingine...
JK. alifanya vitu vyepesi mno, na muda mwingi akautumia ughaibuni, acheni ujinga...
Magufuli ndiye Rais, na namkubali kupita kiasi, nchi ilitakiwa ipate Rais kama huyu, manufaa ya uongozi wake wengine mtaanza kuyaona baadae...
ila najua wengine humu njaa ndo inawasumbua, fanyeni kazi acheni kuandika-andika humu haiwasaidii chochote....
Kwa mdundiko c ndo petuu....kaa mzaramo na vyangaaaHeri aendelee kukaa kimya tu, Maana kuna mengi ya kusemwa kama sio kujibu...
Siku akitaka kusema tutamuuliza "eti Mkuu hivi ulivyoondoka madarakani sukari uliacha inauzwa 5000+? Hivi makontena yaliyokuwa yakishushwa na meli ni machache kuliko haya ya sasa pale bandarini? Hivi ulivyokuwa madarakani kweli fedha zilizokuwa zinakusanywa na TRA hazikuwahi kuzidi hizi za sasa? Hivi ulivyoondoka madarakani wale waliofikwa na majanga walikuwa wakiijutia serikali yako? nk.
Sikushangaa nilipoiona ile kauli "Chagua mtu usichague chama..."
Kama ambavyo wakija tena na kauli mpya "Chagua chama usichague mtu!"
Uzuri wa Watanzania huwa hatuna kumbukumbu nzuri zaidi kwa kuhemkwa na kufuata mdundiko...
Mtaanziasha thread hata milioni moja kwa siku lakini nchi haitakaa irudishwe tena kwenye ulegelege kama wa awamu ya nne uliokuwa umeacha kila mtu anafisadi kwa kadiri ya uwezo wake. Mlizoea vya kunyonga... Acheni kupoteza muda wenu fanyeni kazi!Tulishuhudia wakati wa kampeni mgombea akimponda kiongozi aliyekuwa madarakani.Tukajiuliza lakini tukaona inaweza ni mbinu wametengeneza ili kupata ushindi.
Ushindi umepatikana lakini kila siku awamu iliyopita inasimangwa,inapondwa na inakejeliwa wakati anayeponda alikuwa humo humo.Wanadiriki kusema "nchi ilioza" wakati walikuwa sehemu ya kilichosababisha uozo.
Kauli hizi zitavuka threshold value na wanaojua kusema wakiamua kusema nchi itasimama.
Mungu mpe busara la sivyo,mmh.