Allybalowab
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 481
- 215
Huyu bwana atambue kuwa ndiomaana tunabadilisha uongozi kila baada ya miaka 5 au10 mpaka sasa waseme wawezavyo hakuna kama kikwete madaraja makubwa vituo vyakuzalisha nakusambaza umeme Barabara hatasehem ambako walikuwa wanatumia umeme wamafuta walipata mashine mpya mfano kgm viwanja vya ndege nk mm huwa najiuliza Huyu inawezekana kwa bwana yule kunataasisi iliuchukia utawala ulio pita sasa yeye anasema kama kulipa kisasi kwamaana sijaona kitu kwahuyu kazi kujisifia sasa hivi sio maelezo unesha ulicho Fanya sioporojo kazi kabwabwa hapa