Siku Kikwete akizungumza nchi itasimama

Siku Kikwete akizungumza nchi itasimama

Sijui ndio wale watz 12,000, maana keshawaeleza hata hawamsumbui.
 
Tulishuhudia wakati wa kampeni mgombea akimponda kiongozi aliyekuwa madarakani.Tukajiuliza lakini tukaona inaweza ni mbinu wametengeneza ili kupata ushindi.

Ushindi umepatikana lakini kila siku awamu iliyopita inasimangwa,inapondwa na inakejeliwa wakati anayeponda alikuwa humo humo.Wanadiriki kusema "nchi ilioza" wakati walikuwa sehemu ya kilichosababisha uozo.

Kauli hizi zitavuka threshold value na wanaojua kusema wakiamua kusema nchi itasimama.

Mungu mpe busara la sivyo,mmh.

Kwa anachosema mh Rais ni uongo? Awamu ya nne sio siri madudu yalikuwa mengi mno
 
Kauli hizi zitavuka threshold value na wanaojua kusema wakiamua kusema nchi itasimama.
Hujui usemalo,na Magufuli akiamua kufanya kazi yake kisawasawa hakuna atakaebaki salama
Acheni wazee wapumzike
 
Mnataka Mkwere aongee ili aonekane ni mmoja kati ya watu 12,000 wenye vyeti fake?
 
Hata msemeje, JK, hakufaa kuwa Rais, ukiniuliza mimi JK. kafanya nini ndani ya miaka 10 yake nitakuonesha UDOM tu na Rock City Mall ya Mwanza, sioni kitu kingine...

JK. alifanya vitu vyepesi mno, na muda mwingi akautumia ughaibuni, acheni ujinga...

Magufuli ndiye Rais, na namkubali kupita kiasi, nchi ilitakiwa ipate Rais kama huyu, manufaa ya uongozi wake wengine mtaanza kuyaona baadae...

ila najua wengine humu njaa ndo inawasumbua, fanyeni kazi acheni kuandika-andika humu haiwasaidii chochote....
Unachuki zako binafsi tu,kupanua wigo wa elimu kutoka primary hadi university,barabara,UMEME/REA,maisha nafuu ,mahosptal makubwa mfano muhimbili,mlonganzila,hospital za mkoa wa MBEYA,singida,Udom zote ni mpya,fursa ya kujimwaya kwenye democracy,and many more..anachifanya magu ni kujaribu kurekebisha makosa na kusonga nothing more labda jipya ni kuhamia Dodoma
 
Tulishuhudia wakati wa kampeni mgombea akimponda kiongozi aliyekuwa madarakani.Tukajiuliza lakini tukaona inaweza ni mbinu wametengeneza ili kupata ushindi.

Ushindi umepatikana lakini kila siku awamu iliyopita inasimangwa,inapondwa na inakejeliwa wakati anayeponda alikuwa humo humo.Wanadiriki kusema "nchi ilioza" wakati walikuwa sehemu ya kilichosababisha uozo.

Kauli hizi zitavuka threshold value na wanaojua kusema wakiamua kusema nchi itasimama.

Mungu mpe busara la sivyo,mmh.
Ulitaka ajiuzulu? Wewe baba yako akifanya makosa makubwa utaikana familia yako, si utasubiri siku ukiwa na nyumba yako unajitegemea?
Yaani mstaafu kabisa asimamishe nchi? Au unamaanisha anaenda kuwatetea wanaotumbuliwa?
 
Mwalimu alikaa kimya enzi za Mwinyi na Mkapa?, waulize vizuri Wakubwa zako wakupe Yaliyokuwa yanajiri
Mkumbushe dogo huyu....HAIWEZEKANI KAMA TAIFA TUSIJUWE TUNAKWENDA WAPI....MTU ALALE NA MKEWE KESHO AAMKE ATUAMBIE ALIYOAMBIWA NA MKEWE...HAIWEZEKANI. hilo dongo alipigwa mzee mwinyi.

UTANDAWAZI SIJUI GLOBALIZATION NI UONGO TUU...HILA ZA MABEBERU...UNAUZA NBC BANK KWA WAZUNGU UNADHANI UNAWEZA KUFUNGUA BRANCH YA BANK ZAKO PALE NEW YORK?....Dongo la che nkapaaa.

Mwalimu hakuwahi kumuacha mtu aliyejisahau hapo ikulu akalipoteze taifa alilolipigania kulikomboa...ALIONGEA TENA KWA SAUTI NA BILA KIFICHO.

JK NA WEWE INUKA PAZA SAUTI YAKO KUPINGA ULIYOYAJENGA NA KUSIMAMIA YASIBOMOLEWE...HANA ANACHOWEZA KUKUFANYA UNALINDWA NA KATIBA.
 
Huko ccm watu wote ni zao moja but huyu wa sasa anakatisha tamaa approach zake kwenye kutatua changamoto ni too harsh and burning kuanzia kauli hadi vitendo matokeo take ni taharuki kila kona
 
Kwani wewe huoni nchi ilioza?? Huoni yule Rais alikuwa weak, alikuwa hafai.
Let us come clean; Magufuli ni mfanyakazi mzuri, charismatic na ndiyo index! But only but, anaminya democracy. Angesahihisha hii ya democracy he is our BEST president ever!!

Nyerere alikuwa anaongea huyu anafanya!!

Wengine wote waliopita bure kabisa; na hasa Kikwete
Acha kumlinganisha nyerere na hawa watu photocopy...nyerere was and is a living legend huyu ni mpiga kelele nyikani asiye na dira......
[emoji23]
 
Mkweli si mtu mzuri hata kidogo....
kumbuka maneno yake....SICHOMOI KWANI NILICHOMEKA NINI.....
Siku akiongea mtashangaa, wazara huwa hawakai kimya...aliwahi kusema kuwa huyu jamaa ananiita mzee kikwete sijui anataka kuninyima nini.......pia aliwahi kusema magu anaota mvi wakati yeye anazidi kuwa kijana.
 
Mkumbushe dogo huyu....HAIWEZEKANI KAMA TAIFA TUSIJUWE TUNAKWENDA WAPI....MTU ALALE NA MKEWE KESHO AAMKE ATUAMBIE ALIYOAMBIWA NA MKEWE...HAIWEZEKANI. hilo dongo alipigwa mzee mwinyi.

UTANDAWAZI SIJUI GLOBALIZATION NI UONGO TUU...HILA ZA MABEBERU...UNAUZA NBC BANK KWA WAZUNGU UNADHANI UNAWEZA KUFUNGUA BRANCH YA BANK ZAKO PALE NEW YORK?....Dongo la che nkapaaa.

Mwalimu hakuwahi kumuacha mtu aliyejisahau hapo ikulu akalipoteze taifa alilolipigania kulikomboa...ALIONGEA TENA KWA SAUTI NA BILA KIFICHO.

JK NA WEWE INUKA PAZA SAUTI YAKO KUPINGA ULIYOYAJENGA NA KUSIMAMIA YASIBOMOLEWE...HANA ANACHOWEZA KUKUFANYA UNALINDWA NA KATIBA.
Marais waliofuata baada ya mwl hawana credibility wala moral authority ya kukosoa waliopo coz ya matendo yao Fulani Fulani ya ufisadi pia si unajua wana watoto wasije haribu vitumbua,hata huyu akitoka hutamsikia
 
Hivi mwizi ana busara!!
Only in Tanzania
Yaani mkuu mimi natashangaa sana hawa majitu...

Mtu ametajirika kwa kua raisi, amejijengea pepo kule msoga...

Kwenye utawala wake kila siku ufisadi, aliwahi hadi kutuaminisha kua pesa za escrow sio za umma...

Ikasemekana pia jumba jeupe likawa linafanya biashara ya madawa, tembo walikua wanauliwa kila siku....

Alafu leo hii anaonekana mwema..

Kweli raisi Magufuli tunyooshe kwa maana hatuna akili.
 
Uchochezi huo.

Aseme nini ?kwani uongo?

Ninaamini kabisa hata Mh Rais akisema hivyo hawamaanishi viongozi hao wa juu kwa sababu wao hawakuwa watendaji na wamefanya kazi kubwa tunawapongeza na kuwatakia mapumziko mema.

Hivi kwanini mnapenda kuchonganisha watu?????

Sio siri nchi ilikuwa imeoza kweli,watu waliifanya shamba la bibi.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Tulishuhudia wakati wa kampeni mgombea akimponda kiongozi aliyekuwa madarakani.Tukajiuliza lakini tukaona inaweza ni mbinu wametengeneza ili kupata ushindi.

Ushindi umepatikana lakini kila siku awamu iliyopita inasimangwa,inapondwa na inakejeliwa wakati anayeponda alikuwa humo humo.Wanadiriki kusema "nchi ilioza" wakati walikuwa sehemu ya kilichosababisha uozo.

Kauli hizi zitavuka threshold value na wanaojua kusema wakiamua kusema nchi itasimama.

Mungu mpe busara la sivyo,mmh.
siyo kwa CCM hii ya leo iliyojaa unafiki uliopitiliza. labda ile ya enzi za Mwalimu...
 
akiongea madudu yake yatawekwa hadharani na dunia itasimama kwa mda... Bora tu apige kimya
 
Ulitaka ajiuzulu? Wewe baba yako akifanya makosa makubwa utaikana familia yako, si utasubiri siku ukiwa na nyumba yako unajitegemea?
Yaani mstaafu kabisa asimamishe nchi? Au unamaanisha anaenda kuwatetea wanaotumbuliwa?
Ikiwa hukubaliani na matendo ya mkubwa wako hasa katika siasa,unakaa pembeni.Ukiendelea kukaa ndani utakuwa mnafiki.
Magufuli na nia yake njema angekuwa Raisi bora zaidi na matendo yake yangetikisa zaidi kama angetokea nje ya Chama "kilichoozesha" nchi kiasi hiki.
 
Hata msemeje, JK, hakufaa kuwa Rais, ukiniuliza mimi JK. kafanya nini ndani ya miaka 10 yake nitakuonesha UDOM tu na Rock City Mall ya Mwanza, sioni kitu kingine...

JK. alifanya vitu vyepesi mno, na muda mwingi akautumia ughaibuni, acheni ujinga...

Magufuli ndiye Rais, na namkubali kupita kiasi, nchi ilitakiwa ipate Rais kama huyu, manufaa ya uongozi wake wengine mtaanza kuyaona baadae...

ila najua wengine humu njaa ndo inawasumbua, fanyeni kazi acheni kuandika-andika humu haiwasaidii chochote....
Barabara huzioni.
 
Back
Top Bottom