- Thread starter
- #121
Ni kweli kabisa ndugu yangu.Tuchape kazi tu!!Mtaanziasha thread hata milioni moja kwa siku lakini nchi haitakaa irudishwe tena kwenye ulegelege kama wa awamu ya nne uliokuwa umeacha kila mtu anafisadi kwa kadiri ya uwezo wake. Mlizoea vya kunyonga... Acheni kupoteza muda wenu fanyeni kazi!