Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,601
Tanzania ni nchi isiyo na logic wala consistency, ndiyo maana siku moja utaambiwa nch ilioza, halafu hapo hapo umeambiwa wastaafu wasibughudhiwe hatufukui makaburi, halafu makaburi ya mikataba ya makanika yakafukuliwa, halafu wastaafu wakasemwa wanawashwa washwa.
Ilimradi vurugu mechi tu.
Ilimradi vurugu mechi tu.