Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
- Thread starter
- #101
Hii ngoma ni inspiration song 1 Kali sana kuanzia production Ushairi mpaka flowssiku kama ya leo Mwaka 1995, huku akiwa kaachia kibao cha "Me Against the World" Tupac Shakur hatimae anakuwa msanii wa kwanza ulimwenguni kushika chati namba 1 za Billboard ile hali yeye akiwa Gerezani.