Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

"Ukitaka kula basi kubali uliwe kidogo kwanza"
Jakaya Kikwete..
 
acha roho mbaya ngosha!

Siyo roho mbaya wala.....ni kwamba tu nina mzio na mademu wapumbavu pumbavu.

Mtu anakupiga mzinga bila hata kufikiria ufanyeje sasa?

Hakuna hiyo....hapati mtu hela yangu kirahisi.
 
Mmekuwa wepesi kuomba omba mpaka mnajisahau hivi....kwani si tunaokota hizo pesa. Yaani mi nikupe tu hela, huna undugu hata wa kuromagia na mimi eti kwa sababu una sura nzuri,chura...njoo geto tupeane!
 
Technics muhimu, unadhani utaomba tu kindezi upewe mmh. Hongera lakini, mvumilivu angalau Unakula mbivu sasa hivi. Kweli hela za wanaume ni tamu ila hadi uzipate unaweza kupitia magumu yasiyofikirika teh.

we usiombe mwanangu, subiri tu iwe bonus hivyo hivyo maana ni shughuli acha tu hasa wakati huu wa bwana magu!!
 
Siyo roho mbaya wala.....ni kwamba tu nina mzio na mademu wapumbavu pumbavu.

Mtu anakupiga mzinga bila hata kufikiria ufanyeje sasa?

Hakuna hiyo....hapati mtu hela yangu kirahisi.
hahahaaaa! duuuuh kweli kazi ipo!
 
hahaha tabu sana, unankumbusha mwaka jana kuna kademu kalinipga mzinga wa sh elfu kumi na tano, nikakaambia njoo geto uchukue, kakastukia mchezo kakaja na shoga yake, walipofika nkawakaribisha hadi gheto ndani, wakat huo mwanaume mfukoni nina sh 3500 tu, nilichokifanya nkamwambia yule shoga yake "chukua hii hela unywage soda hapo nje" koz pale karbu na geto kwangu kuna ka kiosk, wakati naingiza mkono mfukoni nitoe hela kwa bahati mbaya nikajikuta nimempa sh 2000 badala ya kumpa sh 1000 niliyopanga nimpe kozi hela yote nlikuwa nmeiweka mfuko mmoja, basi bwana tukapga stori kidogo kisha tukalianzisha mtanange mm na haka kademu, baada ya gemu nakuja kujisach mfukoni mtu mzima nimebakiwa na sh 1500 kumbe yule demu aliona nilipokuwa nampa yule shoga yake ile sh 2000, hahaha mbona palichimbika mle ndani.
 
hahahahahaha...... kutojiamini na uoga tuu. Mtu unaweza kuwa uba lengo zuri tuu la kusaidia ila akawa anajistukia mwenyewe
Sio kwa kuitwa huko, njoo uchukue afadhali useme sawa, hapo nitajiongeza
 
Mmekuwa wepesi kuomba omba mpaka mnajisahau hivi....kwani si tunaokota hizo pesa. Yaani mi nikupe tu hela, huna undugu hata wa kuromagia na mimi eti kwa sababu una sura nzuri,chura...njoo geto tupeane!
we ulisikia wapi mwanaume anakosa hela? we ulivyomtongoza hukuwaona hao ndugu zako? kula kwa jasho na usilalamike, mwanamke pekee ndio analalamika.
 
Back
Top Bottom