habari zenu wapendwa
leo hebu niwaulize nyie wanaume, hii tabia mbaya mlioianza ya mkiombwa hela unajibu "njoo uchukue" badala ya kutuma tu mmeitoa wapi?
kama wewe ukiombwa hela unatuma tu basi na ubarikiwe sana, ila nyie mnaotaka zifuatwe mshindwe na mnyong'onyee.
NB; kila mwanaume na awe responsible kwa mpenzi wake bila kujali malipo, ndio uanaume huo.
Heaven Sent wewe pesa kwako ni bonus hivyo ole wako!!
muwe na jioni njema
Anayezifuata ndiyo anapewa na nauli juu. Anayesubiri atumiwe network za mpesa, tigopesa na Airtel money zipo down kabisa.teh teh teh
Njoo uchukue...
Akijiloga akaja tu, majirani watakuta manyoya mlangoni.
Akigoma kuliwa hapewi hela.
Hili pepo na lishindwe kwa jina la Yesu maana utackia njoo ghetto ukijiloga kwenda umeisha
teh teh tehAnayezifuata ndiyo anapewa na nauli juu. Anayesubiri atumiwe network za mpesa, tigopesa na Airtel money zipo down kabisa.
Mbona hiyo kawaida tu..habari zenu wapendwa