Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

Usipende vya bure bure bwana utapakatwa,ukiweka tamaa mbele utapigwa kipara
 
Hakuna namna njoo utafunwe na kutupwa km bigijii kwa kupenda vya bure mpaka mtakoma tuuh..
 
habari zenu wapendwa

leo hebu niwaulize nyie wanaume, hii tabia mbaya mlioianza ya mkiombwa hela unajibu "njoo uchukue" badala ya kutuma tu mmeitoa wapi?

kama wewe ukiombwa hela unatuma tu basi na ubarikiwe sana, ila nyie mnaotaka zifuatwe mshindwe na mnyong'onyee.

NB; kila mwanaume na awe responsible kwa mpenzi wake bila kujali malipo, ndio uanaume huo.

Heaven Sent wewe pesa kwako ni bonus hivyo ole wako!!

muwe na jioni njema
Nawapongeza Mamende wote wajanja kama mimi walioanzisha hii kitu maana haiwezekani kumtumia mtu pesa kila siku alafu hata kuchora hutuchori.....
 
Technics muhimu, unadhani utaomba tu kindezi upewe mmh. Hongera lakini, mvumilivu angalau Unakula mbivu sasa hivi. Kweli hela za wanaume ni tamu ila hadi uzipate unaweza kupitia magumu yasiyofikirika teh.
mi sitaki mwenzio usinikumbushe mbali yaaan acha tu yaaan nashangaa mwanzo nilivyokuwa naipata kwa shida ila nw kindezi tu technics zingine unaona kabisa kashtukia lakin anapotezea
 
mi sitaki mwenzio usinikumbushe mbali yaaan acha tu yaaan nashangaa mwanzo nilivyokuwa naipata kwa shida ila nw kindezi tu technics zingine unaona kabisa kashtukia lakin anapotezea
Hahaha labda hakuchukulii poa tena. Daah pole mwaya, ila nimecheka mno kama mazuri. Watu wakisimulia hapa yanayowapata kwenye kuomba hela utachokaaaa
 
Mi mwenyewe nimeku-miss atoto hadi nikawa najickia kuugua! Nikawa nikija kwenye ile sred yetu; sikuon!! Ila hilo la Tigo Pesa sidanganyi best!

hahahaaa! best usifanye hivyo bwana.
kule kweli sijafika siku nyingi maana hata movie sina muda wa kuangalia, sijui ndio uzee!
 
Bora uniambie sina. Ukisema njoo uchukue siji ng'o na ndo imetoka hiyo ikirudi pancha.
 
Yani ukae hela ikufate!! una wazimu? lazima uitolee jasho ndio upate.
 
Kama itakusaidia...
Basi njooo (uchukue)
Basi njooo (uchukue)

Umenikumbusha hili songi
 
Sasa wewe si ujaribu tu

Uongo???? kha hebu nenda kwa daktari yoyote umuulize hasara zitokanazo na kutokupata vimiminika vya kiume kwenye engine yako,kumbuka kutu ni kitu kibaya sana,
Njoo basi uchukue pesa baby,nakusubiri ila ukichelewa natoka ghetto.
 
Back
Top Bottom