Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
- Thread starter
- #41
hivyo visingizio tu bwana we, we tuma tu na itafika yote bila tatizo.Siku hizi mitandao haiaminiki unaweza kutuma laki ikafika 60,000. Hivyo tunapotaka mujr kuchukua ni kwa uaslama wa pesa ulioiomba.
Wadukuzi wa mitandao wamechachamaa, na ukijumlisha hali ngumu ya sasa ndio maana tunataka muje kuchukua wenyewe.
Kwani wewe kuja kuchukua pesa unaona ugumu gani?.