LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,513
Una uhakika gani, it takes two to tangoJamaa yuko poa, yuko committed na ndoa yake mkewe ndiyo anazingua.
Una uhakika gani, it takes two to tangoJamaa yuko poa, yuko committed na ndoa yake mkewe ndiyo anazingua.
Huyo jlo hata simfahamu. Acha kubeba mambo ya kukaririshwa darasani.Nadhani nyimbo ya jlo imekuharibu
Hata asipo nipikia mim awapikie wanawe kama mama yangu alivyofanya
at work!!!!!Conservative!!
Labda utakuwa una maanisha 'chakula cha usiku'...si dinner...Mkeo Ni mvivu wanangapi tuna kazi na chakula cha usiku lazima tupike ..nikutokujua Tu wajibu wake
ukishajua wajibu Wako na ukau appreciate wala hutaona km ni utumwa kutoka kazin nakuanza kupika
Hawez kufanana namama ila awe anawapikia wenetu mana asaiv wanadai hawez kumpikia mwanaume eti kwakua sio mama yakoĶutaka kumfananisha mkeo na mama ako ni habari nyinginw kabisa
Yaonesha wewe hata papuchi hupewi kwakisingizio chakaz
Hii kauli imenishutua, nikauli kutoka kwa rafiki yangu ninayemfahamu kwa muda mrefu. Ndoa yao ina miaka 5 sasa na wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike, kwa haraka haraka unaweza kuiona ndoa yao kama ni ndoa imara na yenye upendo mkubwa na kutamani kujifunza kutoka kwao.
Majuzi nilikutana na huyu rafiki yangu tulikuwa na maongezi ya kikazi, katika maongezi yetu tukawa tumeingiza mambo ya familia, ndipo nilishutushwa na kauli ya rafiki yangu "siku hizi simwambii mke wangu asante kwa chakula" nikamuuliza, kwa nini? "Tangu apate hii kazi aliyonayo sasa yapata miaka miwili sili chakula kilichopikwa kwa mikono yake angalau mara moja moja, kwa siku chache za mwanzoni alijitahidi lakini haikudumu kwa muda mrefu akaacha kabisa binti wa nyumbani akawa ndiyo muhusika kwa 100%.
Imenichukua muda mrefu kila nimalizapo kula chakula hasa umwambia mke wangu asante kwa chakula, kilikuwa ni kitamu.
Kwa sasa nimegundua kuwa ninachokifanya ni unafiki tu wa kumfurahisha mke wangu, huku nikiwa na manunguniko moyoni. Kwa sasa nikimaliza kula nasema asante aliyepika chakula, kilikuwa kitamu sana, naona hii kauli imemshutua na kumchanganya kidogo"
Nikamuuliza kwa nini anatumia njia hii badala ya kukaa naye wakaliongelea hili tatizo, akasema "nimekwisha ongea naye mara nyingi ila amekuwa na sababu nyingi mara kuchoka, mara ubize wa kazi, sababu nyingi tu. Natamani angalau mara moja moja nile chakula chakula kilichopikwa kwa mikono ya mke wangu".
Wanawake jitahidi waume zenu wale chakula kilichopikwa kwa mikono yenu angalau mara moja moja.
Kama chakula ni kitamu analalamika nini sasa...namuunga mkono.
ni unafiki kumwambia mke wako ahsante kwa chkula kitamu wakati hausiki hata kuweka chumvi.
amwambie tena na tena .angalau weekend vinginevyo nyumbani panakuwa hakuna tofauti na hotelini
Umeoa Mkuu au bado bado?
Chakula alichopika mkeo na alichopika housegirl unavichukulia sawa, au huoni haja ya siku moja moja kula chakula alichopika mkeo?Kama chakula ni kitamu analalamika nini sasa...
Mi nilidhani housegirl anavurunda...
Yani tatizo ni nani kapika si quality?
Poleni wenye waume wa hivi....hii tabia inaitwa gubu...
Kuna wanawake hadi wanatia huruma...
Unasikia mimi mume wangu hali chakula alichopika mtu mwingine...
Mimi mume wangu hapigiwi pasi na mtu mwingine...
Mimi mume wangu....akyanani...mnawalea wenyewe....huko job anaendaga na hotpot...
Tena wanaume wa hivi hawanaga mapenzi kwa wake zao hata robo...
Ni mfumo dume tu umewaharibu...
mwanaume mwenye mapenzi hukawii kumsikia anakugombeza akiona uko busy kupita kiasi....
Kumbe ni girl friend? Subiri uoe halafu utuletee mrejesho kama kila siku unapika.Nina girlfriend na akija kwangu huwa anakula chakula nilichopika na kisha huniambia asante kwa chakula!
Mambo mengine ni rahisi sana ila sisi binadamu tunayafanya yawe magumu bila ya sababu, kama Mwanamke anafanya kazi siku nzima na yeye ni binadamu kwa nini asichoke?
hapo sasa.Kwa nini huyo rafiki yako asimpikie na yeye Mke wake angalau mara moja kwa mwezi?
kinachokufanya uache kufanya kazi Za nyumbani ukioa ni kitu gani??Kumbe ni girl friend? Subiri uoe halafu utuletee mrejesho kama kila siku unapika.
.
Na inashangaza anajisikiaje kila siku kupikiwa na mtu tena nyumbani kwake?,.. Watu wengine wana tabia ya kutojali tu mimi ni mvivu tena sanaa ila kupikiwa,kufuliwa nguo zangu na za mume wangu NO! Hata Mr mwnyw akinisaidia mamind,... Ila kuoshewa vyombo hata nisaidiwe mwaka mzima fresh tuKwa mwanamke aliyepata malezi bora toka kwa wazazi wake hawezi mwachia house girl kila siku au kila kitu, hiyo haipendezi nikuiweka ndoa bond, baadaye tunalalamika dada kanichukulia mme, mme ni mtoto mkubwa ndani ya ndoa siku akiponyoka mbio kwa mchungaji wakati mchawi mwenyewe.