housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,194
Ndo gubu lenyewe hili.... especially Kama wewe humpikiagi huyo mke.Chakula alichopika mkeo na alichopika housegirl unavichukulia sawa, au huoni haja ya siku moja moja kula chakula alichopika mkeo?
plus lazima mapishi ya housegirl yawe Kama yetu. yeye Ndo anayekuja kufundishwa kupika and not the other way round