Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
haya mambo ni mapokeo tu....tulilelewa kuona mama zetu wanapikia baba zetu.....naam kizazi cha sasa wataona anayepika ni hg hivyo hawatakuwa na ndoto za kuona wake zao wakija kuwapikia!!!yatapita haya na wake wa wakati ujao hawatabebeshwa matumaini haya waliyonayo waume wa sasa!!vumilieni kinamama katika kipindi hiki cha mpito kwa faida ya binti zenu nyakati zao zikifika