fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,025
- Thread starter
- #21
Siku moja moja jamaa anaonja radha ya mikono yako.mmmm Balaa mwenyezi mungu atunusuru mimi na wanawake wenzangu,ndoa zinatafrani zake jamani,lakini hata kama unafanya kazi weekend unaweza ukapika na hata siku za kawaida unaweza kumwambia dada akutayarishie wewe ukifika una
changanya kwanza sikuizi sio kama zamani unapika na mikaa Gas unaivisha mara moja,unaweza kubiwa mume kwa vitu vidogo kama hivi halafu unatafuta mchawi..