Siku hizi Nime Upgrade..

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Hakuna tena...Tusker Bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi

4.jpg
 
Boflo unaniangusha bana, Hiyo Red Label wanatengeneza ilala nayo. Anzia Ballentines, Black Label na kuja juu mkuu!
 
Mbona kuna plaizi hapo chini ya meza? Au nyie ndo mlitoa kucha za ulimboka pale msitu wa pande na hapo ndo mna celebrate? Loh!
 
Mbona kuna plaizi hapo chini ya meza? Au nyie ndo mlitoa kucha za ulimboka pale msitu wa pande na hapo ndo mna celebrate? Loh!
Mkuu saragossa umeonaeeh? Boflo atueleze hapo anajipongeza baada ya kumtesa Dr, na kumng'oa kucha na meno kwa hiyo plaizi. :spy:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom