Siku hizi mwanamke ni nyuma

Siku hizi mwanamke ni nyuma

Chura asikuambie mtu, anahamasisha saaana, mimi mwenyewe napendaga mizigo, mmh! Mizigo... Nyama nyama zilizonona,... (kipozeo) neema za Allah shekh[emoji16] [emoji16] [emoji16]... Itokee tu..
 
Jamaa wqzembe dah,,,maduu wapo 6 na wao 6 ,,baada ya kuwaungia wanawakodolea tuuu,,,Walikwama kweli hapa,,,Ila yule anaumbo flani amaziiiiiiiiiiiiiing lol!!
Pochi haina hatavkichinjio cha ATM machine
Akipita iwe kuna watoto, vijana, wababa au wababu lazima wageuke nyuma.
Kulikoni wana MMU kwanini imekua hivi siku hizi?
View attachment 402651

View attachment 402652
 
Hata beautiful face is something unique
 
1474690712788.jpg
 
Sasa cjui tukianza kupenda wenye vichwa vikubwa kama helmet itakuwaje, maana kwenye ngozi mlijichubua kwenye makalio na matiti mkafanya surgery
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wataviongeza
 
Back
Top Bottom