Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
Bro fikiria tena
Nimefikiria sana Bro mkuu, mapenzi ni furaha ... huna haja ya kutumia nguvu kama mpo vitani
Bro fikiria tena
Tatizo wengi wananunua ndio maana wanakomeshea kufidia pesa yao[emoji16][emoji16][emoji16].... shida zote hizo za nini mkuu.. mapenzi sio vita, wala mapambano kwa umpendae na akupendae
Tatizo wengi wananunua ndio maana wanakomeshea kufidia pesa yao
Haswaa, au wale ambao wameombana gemu siku moja wanafanya kumaliza hamu zote na kuoneshana kuwa wao sio watu wa mchezo mchezo....mtu wako ambae uko nae siku moja ufanye kwa fitna ili ugundue niniHili ni neno, wanafanya kama vita ni wanao nunua na wanao kula wake za watu
Haswaa, au wale ambao wameombana gemu siku moja wanafanya kumaliza hamu zote na kuoneshana kuwa wao sio watu wa mchezo mchezo....mtu wako ambae uko nae siku moja ufanye kwa fitna ili ugundue nini
Daah ulivyoelezea ndio uko nae hapo nini?Mtu ulie nae...kuna kipindi hadi mnasahau kwichi kwichi, ile kukaa na mtu umpendae huwa ni raha sana.. uwepo wake unajihisi kama upo paradise .. kwichi kwichi inakuja kamilisha ... na inakuwa ya afya na furaha ...mnamaliza miili ipo vizuri na afya ya akili ikiwa imeongezeka na mwili na flow ya damu ikiwa nzuri, yani mnakuwa mmejawa na joy , utani utami wa hapa na pale aisee... rahaaa sanaaa
Daah ulivyoelezea ndio uko nae hapo nini?
Mtu ulie nae...kuna kipindi hadi mnasahau kwichi kwichi, ile kukaa na mtu umpendae huwa ni raha sana.. uwepo wake unajihisi kama upo paradise .. kwichi kwichi inakuja kamilisha ... na inakuwa ya afya na furaha ...mnamaliza miili ipo vizuri na afya ya akili ikiwa imeongezeka na mwili na flow ya damu ikiwa nzuri, yani mnakuwa mmejawa na joy , utani utami wa hapa na pale aisee... rahaaa sanaaa
Haha sawa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].. hapa hayupo, angeluwepo nisingekuwa JF mda huu... sasa hivi tungekuwa tunapiga mastory na mautani kibao...[emoji2]
Endelea kusahau kwichi kwichi, mabaharia watakupumzisha.... we unakula kistaarabu kwa vile ni uhakika ila wale wanaomnyapia akinasa ndo wanaita kutia heshima.
Mtu ulie nae...kuna kipindi hadi mnasahau kwichi kwichi, ile kukaa na mtu umpendae huwa ni raha sana.. uwepo wake unajihisi kama upo paradise .. kwichi kwichi inakuja kamilisha ... na inakuwa ya afya na furaha ...mnamaliza miili ipo vizuri na afya ya akili ikiwa imeongezeka na mwili na flow ya damu ikiwa nzuri, yani mnakuwa mmejawa na joy , utani utami wa hapa na pale aisee... rahaaa sanaaa
kamata dagaa piga mandugu digital.Wakuu siku hizi wadada wamekuaje kwenye swala la mapenzi?au ni kuwa zamani walikuwa hawapo huru kuongea?bro siku hizi ukipata demu mkamue sana narudia tena usimuonee huruma kitandani jana nipo gheto sasa kuna mademu wanasukana huku wanapiga story eti wanasimuliana kuwa amepata mkaka ila akienda hata jasho hatoki yaan wamemsema acha nikagundua hivi viumbe si vya kuvionea huruma
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].. hapa hayupo, angeluwepo nisingekuwa JF mda huu... sasa hivi tungekuwa tunapiga mastory na mautani kibao...[emoji2]
wewe jamaa iyo avatar nyeusi kama jasho la mkundu.Nitaenda na manati na mkuki
Kutoka jasho sio tatizo unaweza ukapiga dk 2 ukatoka jasho chumba joto tupu kwann usitoke jasho.Wakuu siku hizi wadada wamekuaje kwenye swala la mapenzi?au ni kuwa zamani walikuwa hawapo huru kuongea?bro siku hizi ukipata demu mkamue sana narudia tena usimuonee huruma kitandani jana nipo gheto sasa kuna mademu wanasukana huku wanapiga story eti wanasimuliana kuwa amepata mkaka ila akienda hata jasho hatoki yaan wamemsema acha nikagundua hivi viumbe si vya kuvionea huruma