Siku hizi mapenzi kitandani ni vita

Siku hizi mapenzi kitandani ni vita

baba mausingizi

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
189
Reaction score
120
Wakuu siku hizi wadada wamekuaje kwenye swala la mapenzi?au ni kuwa zamani walikuwa hawapo huru kuongea?bro siku hizi ukipata demu mkamue sana narudia tena usimuonee huruma kitandani jana nipo gheto sasa kuna mademu wanasukana huku wanapiga story eti wanasimuliana kuwa amepata mkaka ila akienda hata jasho hatoki yaan wamemsema acha nikagundua hivi viumbe si vya kuvionea huruma
 
Mkuu hawa watu ni wakutafuna hadi akimbie na nguo ya ndani mkononi....
Huwa kanuni mojawapo ya Baharia, ukishakula tunda mara moja inatakiwa anogea yeye ndio akubembeleze siku nyingine... akikumbuka shughuli uliompa... hio ndio kanuni yangu..
 
Uzazi wa mpango, uzazi wa mpango, uzazi wa mpango + vyakula feki(kuku mataira) + mawazo sana + kutofanya mazoezi = 100% kushindwa ktk mapenzi/kujamiiana.
 
Back
Top Bottom