Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Watakuwa wanafanya nini hawa?
Huyo ni Mtu mmoja kaweka viatu mikononi, hakuna watu wawili hapo....wa pili labda huyo Mpiga picha.
Kabisa. Umejua kuizoom picHuyo ni Mtu mmoja kaweka viatu mikononi, hakuna watu wawili hapo....wa pili labda huyo Mpiga picha.
Wanazoa uchafuWatakuwa wanafanya nini hawa?View attachment 1080571
Na miguu ni ya kiume, imekomaa.Nimeona sawa na ulivyoona, maana ukiangalia viatu mguu haufit.
Halafu ukifanya kuangalia unaona kabisa viuno havikitani.