Siku gani ulikuwa unaipenda kuliko zote ulipokuwa shuleni?

Dec 27, 2020
5
6
Chagua siku ambazo ulikuwa unazipenda ulipokuwa shule
1. Mwalimu wa math ameenda kujifungua au anaumwa
2. Mmetembelea shule nyingine
3. Kuna wageni kutoka shule nyingine
4. Kuna mashindano ya UMISETA
5. Mwalimu wa physics na chemistry anaumwa
 
Maguest day,shopping day, jumanne wali nyama mboga na matunda, jumapili wali nyama km jumanne.
 
Chagua siku ambazo ulikuwa unazipenda ulipokuwa shule
1. Mwalimu wa math ameenda kujifungua au anaumwa
2. Mmetembelea shule nyingine
3. Kuna wageni kutoka shule nyingine
4. Kuna mashindano ya UMISETA
5. Mwalimu wa physics na chemistry anaumwa
1
 
mwalimu wa kiswahili kapatwa na matatizo ya kifamilia hivyo kurudi hadi tutakapojulishwa tena
 
Ijumaa maana unatoka saa nne shule kuja kuonana mpaka jumatatu tena ni mwendo wa bata tu, tena nilikuwa nafua na nguo za shule ili nisipate usumbufu jumamosi na jumapili!? 🤣😂
 
Binaadam tunatoka mbali. Tunaenda mbali. Na kila stage ina changamoto zake.

Yaani kuna challenges unapitia saivi....mpk unatamani hata urudi huko shule.
 
Back
Top Bottom