Siku ambayo sitaisahau

Pole..Mshikaji sio muaminifu cha msingi tuliza kichwa usije ukafanya maamuzi mabaya.
 
ulimkuta anafanya nn?na nani?mbona kama hujamalizia vile?
 
Sikia rafiki humu ndan hakuna awezae kuku fariji inavyo stahili maana faraja za wanadamu zote hazitoshelezi mwishowe kuumia tena,majuto,lawama,nk.mwite YESU awe mfarij wako had mwisho wa dahari.
 
usisahau jina la hiyo bar!, ni muhimu sana ktk kumbukumbu zako/historically
 
Uliyemuona yuko na mtu wako unamjua?
kama hujamalizia kitu
yukoje?

kakuzidi nini zaidi?
 
Ulichokishuhudia ni Mungu pamoja na wewe mnajua ndo maana umeumia sana ila pole. Story yako ulivoandika mwanzoni nikajua kidume mwenzangu katendwa kumbee ni maua yetu polee jamanii
 
Pole mumy,hebu nitafute PM nikupe ushauri upoze huo moyo uliovunjika.
Maana kivyovyote maisha lazima yaendee.
ACHA UJINGA!

UMPE USHARI WA NINI!!

WEWE WATAKA KUTUHARIBIA WANA OPOCHUNITI YA KUPIGA TONGOZO TU HAPA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…