Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,863
kwani wewe mgeni humu?Mie hata simjui huyo bujibuji niambieni kwanza ndio nani?
hee hee hee kwa hiyo unataka kusema mwanamke hana chama kama ambavyo huwa inasemwa kwamba mwanamke hana dini!!Kabla hajaolewa na chama alikuwa adui wa ccm. Tangu ameolewa na chama amekuwa gamba haswaa ili amridhishe chama. Hata akiolewa na dovutwa basi atahamia chama cha dovutwa
We endelea kujiuliza tu, maana hilo kamwe haliwezi kutokea...
Kwa taarifa yako Bujibuji hawezi siasa kwa sababu hajui kudanganya ..........
Mamndenyi kisha niacha, siku hizi anapepea na chama.Najaribu tu kujiuliza, mzee mwenzangu Bujibuji atakapo amua kuingia kwenye siasa, ndoa yake na Mamndenyi itaendelea kweli? Mama ni mnazi wa magamba wakati Bujibuji shabiki mkubwa wa vyama vya mageuzi, Je Mamndenyi ataendelea kupokea posho sehemu 2? Na Bujibuji ataaminiwa huko kwenye chama chake? Najaribu tu kujiuliza!?
sosoliso nataka uniambie, umepewa shilingi ngapi na chama ili uje kunisema vibaya? Paloma akiona unavyonitendea atasikitika sana, wewe sio mtu wa kununuliwa ili unisaliti.
busy na alama zake za viziwi