#COVID19 Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

Melinda Gates kwa maneno kama haya akawa divorced.
Tegemea jambo pia.
Usiufute uzi. Pin it
 
Tabiri kama hizi zilikuwepo tangu mwaka jana, walikuwa wanatupa wiki mbili
Ngoja tuone huu wako labda utakuwa kweli
 
Unaambiwa koroma inauwa ww unasema unamtegemea Mungu huoni ni kichekesho hicho
Mtu akimtaja Muumba wake kaa kimya.
Hujui wana maagano gani.
Kwa life style hata wewe unayoishi ulitakiwa uwe na kansa kama sio kisukari, lkn Muumba wako anakuhifadhi
 
Si mnataka kukopa ........bado mtasema siku Mia zijazo kutatokea chem chem ya maziwa ya ng'ombe kwenye Kira bonde.........mbona wakati WA mwenda zake islael alikuwa afiki Tanzania ...?? Wasio julikana Tu ndio walikuwepo SASA hivi wasiojulikana wamejificha kaibuka tena Corona baada ya mwenda zake kuondoka😳😳😳
 
Mungu atunusuru
 
Hapa jf bishana ila ukiwa off line jikinge na jaribu kuwakinga uwapendao hasa wazee .Misiba kama sita nimeshudia wazee wanaenda tuweni makini .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…