Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,744
Kichwa chako ni mzigo mzito sana mwilini mwako.Mwanzoni tulikuwa nazo kuliko hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa chako ni mzigo mzito sana mwilini mwako.Mwanzoni tulikuwa nazo kuliko hao
AmenTanzania ni MZIWANDA wa Mungu! Mwenyezi Mungu atatutendea kwa Rehema!!
Mtu akimtaja Muumba wake kaa kimya.Unaambiwa koroma inauwa ww unasema unamtegemea Mungu huoni ni kichekesho hicho
Mungu atunusuruTanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.
Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.
Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.
Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.
Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?
Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Vaa barakoa safisha mikono na sabuniHatuwezi kufikia kama mataifa mengine kamwe..
Hata huku kulikuwa na uchaguzi pia.Kulikuwa na kampeni za uchaguzi ndio maana
Naamini ameshajifia yeye mwenyewe namuombea kwa Mungu aliyoyaomba yawe yametimia kwa upande wake na Mungu aendelee kuwalinda WanaJF wenye mapenzi mema daima.Vipi mtoa mada, JULY 12 hadi leo SEPTEMBER 18 ni zaidi ya siku 60,
je ni kweli imekua zaidi ya India?? Nadhani umepata cha kujifunza!
USIMTANGULIE MUNGU