#COVID19 Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,467
2,000
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.

Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.

Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.

Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.

Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?

Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Hali ikoje?
 
uchumi2018

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
906
1,000

Kwa mujibu wa bandiko lako na mpaka sasa siku 60 zimepita na huna ushahidi kwamba tumeipita india kwa maswala ya COVID
nadhani tumia busara yako na utu kutuomba radhi watanzania kwa kutudanganya.
 
EliCohen

JF-Expert Member
Jun 14, 2020
270
500
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.

Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.

Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.

Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.

Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?

Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Ujinga ujinga tu
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,528

Wewe nyumbu njoo utupe mrejesho wa Covid 19 yako!!?
 
digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
5,518
2,000
Naamini ameshajifia yeye mwenyewe namuombea kwa Mungu aliyoyaomba yawe yametimia kwa upande wake na Mungu aendelee kuwalinda WanaJF wenye mapenzi mema daima.
He is no more,last seen yake inatia shaka
Screenshot_20210918-210359.jpg
 
Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
3,257
2,000
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.

Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.

Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.

Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.

Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?

Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Nchi ina watu over 800M unalinganisha na nchi yenye watu 60M kweli? Ndo mana umepwaya
 
Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,256
2,000
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.

Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.

Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.

Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.

Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?

Wekeni alama huu uzi mtakuja kunikimbuka
Mmekufa wangapi kwenye familia yenu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom