Sikiza ya kadhi mkuu wa Kenya

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hutuba aliyoitoa leo asubuhi anasema serikali ime uwezo wa kutoa amri ya kutangaza mwezi kuonekana na kula didi peke yake na kuwaweka ndani waliokaidi na kula iddi kivyao wanavyotaka wao..... Sie tuliokula iddi jana angetuweka ndani.

Looks like SUPKEM are worse than BAKWATA japo jamaa wa Kenya wamesoma zaidi

I hope wanaotaka kuiga hii kitu frm kenya wa wanaiona hii
 
Back
Top Bottom