Sikiliza tambo za huyu mlevi

Sikiliza tambo za huyu mlevi

HOMOSAPIEN

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
745
Reaction score
273
Mlevi mmoja alitangaza baa kuwa ana wasiwasi kua yeye ni mungu.
Akaulizwa kwanini???

Mlevi: sababu nikifika mtaani kwangu nasikia watu wanasema
"mungu wangu amelewa tena...!!"

Nikifika Kituo cha POLISI Mkuu wa kituo akiniona tu anasema
"mungu wangu umefanya nini tena...!!"

Kila mahali wananishangaa kwa kusema mungu wangu sasa kwanini mimi nisiwe mungu?
:frusty::frusty:
 
Back
Top Bottom