Sikiliza Mjomba...

Do black people blush? :cool:

He he!! We do. But we don't turn pink or red. But yes, the small blood vessels in our cheeks do dilate under certain emotional conditions.

Please come up with some more. You could even release this/ donate it to TAMWA/ HakiARDHI or some organization like that.

On second thought, why don't YOU run for President? :)
 
Nice piece of work ujumbe utakuwa umefika au atafikishiwa tu. Mi naamini kama ameweza kuwa katika facebook unaweza kukuta hata humu JF yumo kwa jina lingine hence am so sure ujumbe umefika sala. Ila Mwanakijiji wakti nasikiliza kuna kama dakika 2 za mwisho hazina sound ndo ilivyo u fault somewhere?
 
Hitilafu ndogo ya kiufundi, nami pia napata huo ukimya ila naamini ndio mwisho wa wimbo.
 
On second thought, why don't YOU run for President? :)

we hunipendi wewe.. kwa CCM tayari tumeambiwa is a "NO NO".. kwa upinzani unafikiri nani anaweza kukubali kutokugombea.. unless... unless.. CCJ waipe usajiri wa kudumu, watakiona cha mtema kuni au kile wahenga walisema "kilichomtoa kanga manyonya"..

@ Yebo Yebu.. kwa kweli.. ilikuwa nusura iendelee kidogo lakini mtoto akashindwa kuwasha gari sababu ya snow.. ikabidi nikirupuke!!! sorry!
 
Mjomba kaziba masikio baada tu ya kumaliza kikao cha NEC jana usiku saa hizi yuko Uturuki lini atasikiliza huu ujumbe
 
Duh! Kazi Ipo

Duh! Kazi Ipo, Ipo kwelikweli maana mjomba alimpa live Shein second in command pale kwenye viwanja vya Kambarage Shinyanga wakati wa sherehe za Mei Mosi ambazo JK ndie alikua mgeni rasmi akakacha muda umepita hakuna kilichotokea kwani mazoea yetu ni kuona na kusikia hatuna muda wa kutafakari ili kuchukua hatua.
 
kawaida mjomba ni mtu muhimu sana kwenye familia, lakini siyo mjomba huyu, sijui mjomba gani huyu ana uchungu hata na watoto wa dada zake.haiwezekani kila kitu yeye anakosea tu, lazima kuna tatizo kubwa yuko nalo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom