kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kakimbia mgomo wa madaktari na kwenda kwa makuhadi wa ushoga.
CDM ikishika nchi basi majobless wote wa Arusha watapelekwa USA kusoma.
hao walibaki wameufanyia nini huo mgomo??????????kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kakimbia mgomo wa madaktari na kwenda kwa makuhadi wa ushoga.
Mbowe alijibu maswali mbalimbali fuata hiyo link.
[URL]http://www.changamotoyetu.blogspot.com/[/URL]
huwezi kuchoka unacho kisimamia mpka utakapo fanikiwa au kufikia malengo....Hivi Mbowe hana jipya mbona anaongea yaleyale. Inachosha kumsikiliza.
Kama una internet Download Manager ni rahisi sana kama huna install halfu tembelea link husika itakupa option ya ku-downloadHotuba nzuri sana pamoja na maswali na majibu yanapatikana kwenye hii link. Naomba msaada kwa mtu yeyote ambaye anaweza nisaidia niweze kui-download.
Go to hell!siasa za maji taka zimepelekwa Marekani.
Kama vile CUF ilivyoleta mapanga kukata watu Zanzibar, eeh?wanatafuta wafadhili wa kuanzisha vurugu tanzania; wanajua wananchi hawana uwezo wa kuwaandaa; wataletwa majambazi waauaji kutoka amerika kufanya uharibifu katika nchi
Kama vile CUF ilivyoleta mapanga kukata watu Zanzibar, eeh?
Ndugu,
Zile dukuduku za wananchi zitakuwa zimepungua kama sio kuisha kabisa. Naomba walio/wanao/watakaomsikiliza wafikishe ujumbe kwa wengine kwamba CHADEMA hakuna udini, ukabira wala umasikini. Thank U BigPublisher
AmeAmeshiriki maombi ya kikristo..aisee nimeelewa
Ame
American annual prayer breakfast si ya Wakristo peke yao. Hukaribishwa wabunge wa dini mbalimbali kutoka nchi za nje.
Lakini, hata kama ingekuwa ni ya Wakristo peke yao tatizo liko wapi? Viongozi wetu wa Kiislamu wanapokwenda Iran, Saudi Arabia, au hata Macca umeshamsikia yeyote akilalamika? Endelea kuelewa.
Topical,'Hakuna tatizo kama angeenda kuhiji (naona siku hizi wakristo wanaenda kuhiji ijeruslam..kama ibada) kama makkah etc
Saudia, Iran viongozi hawaendi kwenye prayers; wanaenda kuongea na watawala wa nchi hizo (goverments relations)
Hizo prayers za kikristo kwa wakristo; nyalandu, mbowe etc...nafikiri wanatafuta american evangilists supports, maana huko nasikia wameanza kuichukua tangu enzi za bush, za crusade huko middle east..(kueneza ukrsito kwa mtutu wa bunduki)
siasa za maji taka zimepelekwa Marekani.
Mbona hapa kama anafanana na Nyerere.