Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

kisichonifurahisha ni kuwa waimbaji wengi wa kitanzania siku hizi wanakazania kuimba sauti inayofanana kwa kuilegeza kupita kiasi. Akiamua kutolegeza sauti basi anaimba kinigeria. Sioni waimbaji waliokuwa na sauti zao distinct kama ilivyokuwa zamani ambapo ulikuwa ukisikia waimbo wa Bazil, unajua fika kuwa huyo ni Bazil, na ukisikia wimbo wa Alicom, unajua kuwa anyeimba ni Alicom, siyo mwingine. watu wanaposifia kuwa mziki wa bongo umeendelea huwa nashindwa kuwajibu. Inawezekana kuwa umetambulika duniani kwa vile wabongo wamefanya kolabo nyingi huko nje, lakini siyo kuwa umeendelea kwa kujitambulisha ulivyo. Ni tofauti na jinsi muziki kama wa Olver Ngoma, kwa mfano ulivyotambuliwa kama ulivyo bila kulazimisha kushirikiana na wengine. In fact muziki kwa jumla umesinyaa.
 
fact
 
Back
Top Bottom