Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Mkuu slow jam za kutafutia usingizi za enzi hizo kama Boyz to men, r kely, joe thomas, mariah carey, whitney huston, boyzone, backstreet boyz, az yet, swv, westlife nk nk
Basi basi, usimalize uhondo
 
Mkuu slow jam za kutafutia usingizi za enzi hizo kama Boyz to men, r kely, joe thomas, mariah carey, whitney huston, boyzone, backstreet boyz, az yet, swv, westlife nk nk
mbona nishaziweka humu...angalia mixing
1.bedtime
2.rnb 90
3.slowjams
4.rnb masters
Mixed by dj nasmiletz...page ya kwanza kabisa
 
Kama wewe ni dj au mdau wa muziki.hapa unaweza kusikiliza na kudonloqd nyimbo zilizotengenezwa na madj. Yaan mixing au nonstop mix kutoka djs mbalimbali

Haya naanza na hii. Inanyimbo mpya za 2021 tupu hiphop and afropop bongoflava
DVJ NASMILETZ SIMU WHATSAPP/CALL/SMS/+255627474141. Au tigo 0679028418

View attachment 1708575
Dvj Nasmiletz- PainsKiller mix jan 2021

BOLINGO TIME VOL 2

BOLINGO TIME VOL 1

CLUB BANGERS AMAPIANO VOL 1

OLD IS GOLD FLASHBACK VOL 2

OLD IS GOLD FLASHBACK VOL 1

RAGGAMAFI&DANCEHALL VOL 2
RAGGAMAFFIN DANCEHALL VOL 1

RHUMBA CONGOLESE VOL 1

RHUMBA VOL 2

SINGEL MIX VOL 1
RNB MASTERS VOL 1
RNB MASTER VOL 2

BEDROOM MIX VOL 1

RNB MIX 90S -2000S

BONGO THROWBACK VOL 4
Dvj nasmiletz-bongo throwback mix vol 6

BONGOFLAVA NEW 2021 MIX PAINKILLERS

SWEET REGGAE MIX DEMO VOL 1

PAINKILLER BONGO MIX 2020

GOSPAL MIXTAPE VOL 1

BOLINGO TIME M,IX VOL 1

BOLINGO SEBENE 2021 NA ZA ZAMANI

ZINAENDELEA HAPA

Hip hop bongo ngumu kumeza zipo hapa..enjoy


VIDEO MIX HAPA CHINI




View attachment 2115426
Bolingo time vol 1 iko poa lakini baadhi ya nyimbo zinasikika kwa quality mbovu (hazina mchicha) halafu kwenye mixing zako naona wakati mwingine unapandisha nyimbo zenye temple tofauti hali ambayo inakulazimu kushusha pitch hadi inakuwa sio ya kuchezeka kama vile nyimbo za bolingo zinatakiwa ziwe, halafu kwa nyimbo bolingo scratching huwa hazipendezi na upunguze ku-loop.........ni hayo tu machache kutoka kwangu Dj mstaafu
 
Back
Top Bottom