Katika kipima joto cha ITV kuna aina tatu za majibu
1. NDIYO
2. HAPANA
3. SIJUI.
Mfano wa Swali.
-----Ongezeko la watoto wa mitaaani jijini Dar es Salaam, Je serikali ilaumiwe?---------
Hapa utakuta mtu anachukua simu na kumwaga jibu no. 3 SIJUI.
Napenda kujua kama hii ni jamii ya watu wa karne hii au ni watu wa aina Gani?
sasa kama mtu hajui kwanini anajibu wakati sio lazima.

Ukitizama vyema utaona kuna mapungufu kwenye maswali ya kipima joto...wanauliza leading questions...nadhani ndio maana watu wengine wanaamua kujibu sijui....
Mamito hayo majibu wanapika wenyewe ITV,sidhani katika mihangaiko ya siku hizi mtu atapoteza muda wake kutuma majibu hasa hasa hayo ya 'SIJUI' hahaha! mwaka jana nilitaka kuchunguza kidogo sasa kila naye kutana nae ninayemfahamu namuuliza kama kawahi kutuma jibu kipimajoto na zaidi ya 65 wakajibu hapana na hawamfamu mtu aliyetuma.
Mzima lakini ?
maswali yao mengi wanayouliza yakijibiwa na only rational people they will all give the same answer
Hayo maswali yanaitwa leading questions mahakamani huwa hayaruhusiwi kabisaaa!maswali yao mengi wanayouliza yakijibiwa na only rational people they will all give the same answer