Sijui | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by vivian, Sep 26, 2011.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Katika kipima joto cha ITV kuna aina tatu za majibu
  1. NDIYO
  2. HAPANA
  3. SIJUI.

  Mfano wa Swali.

  -----Ongezeko la watoto wa mitaaani jijini Dar es Salaam, Je serikali ilaumiwe?---------

  Hapa utakuta mtu anachukua simu na kumwaga jibu no. 3 SIJUI.

  Napenda kujua kama hii ni jamii ya watu wa karne hii au ni watu wa aina Gani?

  sasa kama mtu hajui kwanini anajibu wakati sio lazima.
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  Mimi nimewahi kuuliza watu kama wawili bado nao wakaosa majibu, huenda kuna uchakachuaji unaendelea hapa siamini kama hili linawezekana kutokea tena kila siku.
   
 3. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hili swali kwangu ni sawa na lile la kuipa CCM mamlaka ya NCHI hii 2010
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wewe unashangaa hao, mbona JK alisema 'SIJUI KWA NINI' tz ni masikini.
  if rais wa nchi anatoa jibu la SIJUI kwa swali la kwa nini TZ ni masikini mama yangu wa Cbaburuma Songea atajibu nini kama sio SIJUI 100times
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hahahahaaaaaaaaaaa! Ukiwawaza sana watanzania utajifia kwa BP na mawazo uiache famila yako ikiteseka bureee. Tena mtu mkubwa na familia yake, kama bado hajaileta duniani basi anatemebea nayo. Ni ujinga ulopitiliza viwango.
   
 6. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Yaani hakuna kichefuchefu km hiko kipindi..... Kwanza maswali hayana standards za kupima kitu husika. Nimefurahi umetoa a right sample question km wanayotoaga.... Na sidhani km kuna mtu anatumaga / respond to those questions. Na km wapo they are insane km wanaandaji wa hiko kipindi ITV.
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mamito hayo majibu wanapika wenyewe ITV,sidhani katika mihangaiko ya siku hizi mtu atapoteza muda wake kutuma majibu hasa hasa hayo ya 'SIJUI' hahaha! mwaka jana nilitaka kuchunguza kidogo sasa kila naye kutana nae ninayemfahamu namuuliza kama kawahi kutuma jibu kipimajoto na zaidi ya 65 wakajibu hapana na hawamfamu mtu aliyetuma.

  Mzima lakini ?
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Sijui....
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Ukitizama vyema utaona kuna mapungufu kwenye maswali ya kipima joto...wanauliza leading questions...nadhani ndio maana watu wengine wanaamua kujibu sijui....
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kuna wakati nahisi huwa wanapika matokeo yale, maana haiingii akilini swali ambalo liko wazi na jibu ni ndio au hapana mtu mwenye akili timamu akajibu sijui....
   
 11. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hawana maana wale.
  Wanauliza maswali na majibu wanayajua.
  OTIS.
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  watu ni noma wanachakachua hadi sms
   
 13. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  maswali yao mengi wanayouliza yakijibiwa na only rational people they will all give the same answer
   
 14. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Dadiito hata mimi sijawahi kusikia any person I know ameshiriki hicho kipima joto.
   
 15. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #15
  Sep 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  The way wanauliza maswali yao inashangaza sana....ni kama wauliza watoto wa chekechea...sijawahi elewa nini huwa wanataka kujua toka kwa watazamaji wao...labda idadi ya vichaa wanaotizama ITV
   
 16. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hayo maswali yanaitwa leading questions mahakamani huwa hayaruhusiwi kabisaaa!
   
Loading...