donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
2003 safari za mwendokasi zilikuwepo mzee?? picha itakuwa ya zamani ila sio 2003.Picha ya 2003 hiyo
Kiko wapi kithibitisho cha mwendokasi2003 safari za mwendokasi zilikuwepo mzee?? picha itakuwa ya zamani ila sio 2003.
Hao walitaka kupiga picha tu, angalia chupa karibia zote zina vifuniko
Ni kweli Mkuu, hapa sheria ya takwimu itakuwa imevunjwa.Duuuh , hawa sasa wanavunja sheria ya nchi
Safari ndogo zina majina mengi. Mf. Kirikuu, Mwendokasi, Kifurushi cha chuoKiko wapi kithibitisho cha mwendokasi
2003 TBL hawakutumia chupa hizo!Picha ya 2003 hiyo
mbona picha ina tarehe kabisa ya 25.12.2017?2003 TBL hawakutumia chupa hizo!
Naona vinywaji vya kikulima tu lazima.itakuwa kolomije hapo.