binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,148
- 40,881
Pole mkuu Dunia ipo kombo saivNyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?[emoji3]
That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine
Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu inahuzunisha kwakweli.
Mwaonaje Tz wanawake watulipie mahali wanaume kama India tu utamaduni ule safi sana maana tunakoelekea ni kwamoto sana zaidi hususani. Vizazi vyetu vya hiki kipindi cha mpito🤣🤣Tunalaumu outcome bila kuhoji tumefikaje fikaje hapa.
Hili swali tuligeuze kwa wanaume, kwa dunia na mazingira ya sasa mngekuwa wanawake mngefanya nini?
Nazungumzia dunia ambayo mtu anakutongoza sasa hivi akulale baadae, au anakutongoza sasa hivi akakulale sasa hivi…..Option hapa ni moja tu kukataa au kumuuzia.
Mna complicate mambo, ni dunia tuliyojikuta tumo na haya yote tumeyasababisha sisi.
Waliooa waacheni wapeane bure maana kuna gharama kila mmoja alishaziingia kwa namna moja ama zingine.
Wale wanaodate for better future wanajua wafanyeje ili waendeshe mahusiano yao.
Ninyi mliobaki mambo yasiwe mengi, atakayemfuata mwenzie amlipe, dau la mtu mmoja litatofautiana na la mwingine Vigezo na masharti vikizingatiwa, Si ndio muda wa wanaume kujipandisha thamani na nyie 😂😂😂 naandika huku nacheka!
Wanaume jitulizeni msubiri kutongozwa muone kama mtaombwa hela.
Tofautisha mapenzi na ngono.Kwani tunakuwa wapenzi ili iweje?Ili tupostiane status ama?
Kwasababu za kihistoria this is next to impossible.Mwaonaje Tz wanawake watulipie mahali wanaume kama India tu utamaduni ule safi sana maana tunakoelekea ni kwamoto sana zaidi hususani. Vizazi vyetu vya hiki kipindi cha mpito🤣🤣
Noma sana 🤣Wajanja siku hizi huwa straight forward kuwa one night ni 20k au 50k na hakuna kujuana mazima baada ya show kuisha.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Dah, hatari sana. Na mimi nilihisi kuna kitu kama hicho.
Khaaaaaaaa kumbe bado mnacheza na robo😂Kwasababu za kihistoria this is next to impossible.
Inabidi wanaume muanzishe movements ambayo itachukua decades. Kubadili dunia si kazi rahisi mkuu… Wanawake tangu tumeanza movement ya Feminism hatujafika hata nusu ya malengo hadi sasa.
You see!
Mambo si marahisi 😂Khaaaaaaaa kumbe bado mnacheza na robo😂
Kwer noumaaaaaah nime experience ndani ya miaka kama Saba hivi na single mother lkn alikua haitaki nitoe huduma kwa mwanangu kwa kigezo wake sitompenda lkn kwangu haikua Ivo alikua mtu mwenye hasira na jazba mda wote sio anaependa kueleweshwa hivyo nimenyoosha Mikono juu 🙌tumeshindwana kwa kitu kidogo tu kuforce ndoa mda wote mpk keroMambo si marahisi 😂
Ndio miaka yetu hii. Kazi ipo.Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?[emoji3]
That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine
Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu inahuzunisha kwakweli.