Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,163
- 33,626
Anamaanisha mahusiano yote kiujumla maintanance cost yake ni sawa na kununua kahaba. Akija kukutembelea ugharamie usafiri, ukienda kumtembelea utaambiwa njoo na kitu fulan mfano chipsi, mnaishi sehemu tofauti lakini utaombwa umlipie umeme, gas na wakati mwingine hadi kodi ya nyumba. Mapenzi ni mutualy basic need lakini mwanaume anabebeshwa gharama kama vile anauziwa au anafanyiwa favour ambayo kiungwana tu itatakiwa kulipia posho, mwanaume anabebeshwa gharama ambazo kimsingi mwanamke alitakiwa kuwajiba nazo mwenyewe au kama hana kazi basi alitakiwa kugharamiwa na wazazi wake.Kwanza kabisa, penzi ni nini?
Unamaanisha nini unavyoandika "penzi"?
Kausha damu hauwajui wewe. Hawana aibu hawa. Hata ukimjibu sina hela anakuuliza lini utakua nayo"wakigundua una pesa hawakuombi wanaogopa kukupoteza"
kupanga ni kuchagua
Sasa ambake? Kuombwa penzi ni sawa na kutongozwwa yaani jamaa kaonesha hitaji la kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wewe sasa wewe ukitumia hitaji la jamaa kama fursa ya kupiga hela ndipo hapo unakua hauna tofauti na dada poaUnamwomba Penzi ili iweje?
Kwahyo akikupa bure ndio atakuwa mama bora.?Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?
That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine
Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu inahuzunisha kwakweli.
Mkuu jamaa hajamaanisha sex, alichomaanisha jamaa ni lile hitaji la kuwa na mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi yaani ile kumtongoza basi utaletewa invoices nyingi mpaka unashangaa alikua anaishi vipi kabla hatujakutanaOndoa neno penzi weka kum..a, mapenzi hakuna wanauza k.
Hao ndio nature yao very selfish creatures known to mankindKwani kunipa k mpaka nikupe hela?huwezi nipa kwa upendo tu?
Sasa tofauti yako na dada poa ni nini hapo!!?
Na je ukinipa k me pia si nakupa mboo,basi na we nipe hela....
Mbona wanawake mnakuwa selfish sana
Mimi nataka K yako niambie bei shilingi ngapiAkiomba k anaona ana haki, ila akiombwa hela anaona anaonewa. Basi kila mtu abaki na Mali zake
Hapa unatetea umalaya tu. Ukishaona hayupo siriaz mkatae from the first placeInawezekana haoni kama upo serious. Nyie wanaume wa kula na kusepa ni lazima mlipie
Dah, hatari sana. Na mimi nilihisi kuna kitu kama hicho.Vijana wa leo hawajui tofauti ya (ma)penzi na ngono.
Haya ni matatizo ya jamii masikini. Zaidi ya jamii masikini, mentality ya kimasikini. Maana unaweza kukutana na mtu masikini lakini hana mentality ya kimasikini.Anamaanisha mahusiano yote kiujumla maintanance cost yake ni sawa na kununua kahaba. Akija kukutembelea ugharamie usafiri, ukienda kumtembelea utaambiwa njoo na kitu fulan mfano chipsi, mnaishi sehemu tofauti lakini utaombwa umlipie umeme, gas na wakati mwingine hadi kodi ya nyumba. Mapenzi ni mutualy basic need lakini mwanaume anabebeshwa gharama kama vile anauziwa au anafanyiwa favour ambayo kiungwana tu itatakiwa kulipia posho, mwanaume anabebeshwa gharama ambazo kimsingi mwanamke alitakiwa kuwajiba nazo mwenyewe au kama hana kazi basi alitakiwa kugharamiwa na wazazi wake.
Huku ni balaa kaka mkubwa. Mwanamke akishavaa kisketi chake kinachoacha mapaja wazi akaingia club basi anajiona ana haki ya kununuliwa vinywaji, chakula, shisha na kugharamiwa usafiri wa kuondoka. Siku ya mwaka mpya kuna dada alinitumia text kuniambia twende tuaangalie show ya christian bella nikamwambia its ok but we will split all bills. Yule dada akapotea hewani.Haya ni matatizo ya jamii masikini. Zaidi ya jamii masikini, mentality ya kimasikini. Maana unaweza kukutana na mtu masikini lakini hana mentality ya kimasikini.
Kuna siku, miaka ya nyuma sana, nilikuwa namtongoza dada mmoja, dada Mmarekani mweusi. Mtoto mkali, katulia.Nikasema ngoja nimchokoze huyu kwenye mtoko wa weekend.
Nikamtupia ndoano ya maneno matamu, tukawa tunaelewana.
Nikamwambia vipi weekend, una mpango gani? Ningependa tutoke. Akasema kutoka ningependa, ila kwa sasa nimechalala, mambo yangu si mazuri.
Sasa mimi mwanamme wa Kiafrika nikasema hapa si ndo penyewe pa kutoka kidedea mwanamme. Nikamwambia wewe usijali, mimi nitakuja kukuchukua nyumbani, tutakwenda restaurant ya maana, tutabarizi vizuri, halafu nitakurudisha.
Bidada akashukuru sana kwa ukarimu wangu, lakini akaniambia kwamba, yeye hata kama mwanamme atamlipia kila kitu, hawezi kufanya mtoko bila ya yeye kuwa na hela zake pia.
Nikamuangalia yule bibie, nikasema dada ningeweza kukurekodi tutoe somo kwa dada zetu wengine wa kibongo ningefanya hivyo.
Huko kwetu unaweza kuombwa mpaka nauli, ukatuma nauli na ya kutolea, halafu mtu asije!
Isn’t that what anybody with an ounce of common sense ought to do?Haya ni matatizo ya jamii masikini. Zaidi ya jamii masikini, mentality ya kimasikini. Maana unaweza kukutana na mtu masikini lakini hana mentality ya kimasikini.
Kuna siku, miaka ya nyuma sana, nilikuwa namtongoza dada mmoja, dada Mmarekani mweusi. Mtoto mkali, katulia.Nikasema ngoja nimchokoze huyu kwenye mtoko wa weekend.
Nikamtupia ndoano ya maneno matamu, tukawa tunaelewana.
Nikamwambia vipi weekend, una mpango gani? Ningependa tutoke. Akasema kutoka ningependa, ila kwa sasa nimechalala, mambo yangu si mazuri.
Sasa mimi mwanamme wa Kiafrika nikasema hapa si ndo penyewe pa kutoka kidedea mwanamme. Nikamwambia wewe usijali, mimi nitakuja kukuchukua nyumbani, tutakwenda restaurant ya maana, tutabarizi vizuri, halafu nitakurudisha.
Bidada akashukuru sana kwa ukarimu wangu, lakini akaniambia kwamba, yeye hata kama mwanamme atamlipia kila kitu, hawezi kufanya mtoko bila ya yeye kuwa na hela zake pia.
Nikamuangalia yule bibie, nikasema dada ningeweza kukurekodi tutoe somo kwa dada zetu wengine wa kibongo ningefanya hivyo.
Huko kwetu unaweza kuombwa mpaka nauli, ukatuma nauli na ya kutolea, halafu mtu asije!
Umemaliza kila kitu mkuuAnamaanisha mahusiano yote kiujumla maintanance cost yake ni sawa na kununua kahaba. Akija kukutembelea ugharamie usafiri, ukienda kumtembelea utaambiwa njoo na kitu fulan mfano chipsi, mnaishi sehemu tofauti lakini utaombwa umlipie umeme, gas na wakati mwingine hadi kodi ya nyumba. Mapenzi ni mutualy basic need lakini mwanaume anabebeshwa gharama kama vile anauziwa au anafanyiwa favour ambayo kiungwana tu itatakiwa kulipia posho, mwanaume anabebeshwa gharama ambazo kimsingi mwanamke alitakiwa kuwajiba nazo mwenyewe au kama hana kazi basi alitakiwa kugharamiwa na wazazi wake.
Wewe unachotetea ni wanawake wagawe bure? Kama unataka basi turudi kwenye maadili... Nenda kachumbie umuone ndo umle vizuri utakavyoHapa unatetea umalaya tu. Ukishaona hayupo siriaz mkatae from the first place
Mi sitaki mboo yako.Mimi nataka K yako niambie bei shilingi ngapi
Hujawahi kukataa kitu huku anakitaka?, yaani unajibu kama hautaki ila unataka, na kutokana na hilo jibu lazima upeweNyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?