Sijui niunganishe ID?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Ziko mbili, za tofauti sana, kwa muda na character, moja ya kistaarabu na ingine utata mtupu.
Vikwazo ni vichache vya nje na vingine vingi chini ya kapeti.
Sijui niziunganishe, just thinking loudly.
 
umefanya kosa kubwa sana. hahahahaaaa

kosa gani mkuu? Kama suala ni ID mbili sio siri, hata Invisible anajua hilo.
Nini mimi, kuna member alikuwa nazo kumi na nane, kama utani vile.
 
Last edited by a moderator:
Admins ndo wanafanya hiyo shughuli endapo utawaomba.

okay, i see inawezekana kumbe, i use two emails address to log in my paypal account... so inawezekana kulog in kwa kutumia id mbili, but taarifa zako zitakuwa the same, same posts, same likes etc
 
Ni kama kupanda ndege mbili kwa wakati mmoja !

i see inawezekana kumbe, i use two emails addresses to log in my paypal account... so inawezekana kulog in kwa kutumia id mbili, but taarifa zako zitakuwa the same, same posts, same likes etc
 
i see inawezekana kumbe, i use two emails addresses to log in my paypal account... so inawezekana kulog in kwa kutumia id mbili, but taarifa zako zitakuwa the same, same posts, same likes etc

ID zikishaungwa inakuwa moja, wenyewe wanatumia msamiati wa ku-merg, ile uliyoichagua ndio jina lake linatumika, the merged one inakufa 'automatikale'
 
ID zikishaungwa inakuwa moja, wenyewe wanatumia msamiati wa ku-merg, ile uliyoichagua ndio jina lake linatumika, the merged one inakufa 'automatikale'

hahaha umenifurahisha na huo msemo wa 'automatikale'
huwa nalog kwa kutumia both emails so means hapo ni kama ninazo id mbili kwenye account moja, zinatumika zote na wala hakuna kufa moja, ni system wakiamua tu, ila taarifa ndio zinakuwa the same.
 
Back
Top Bottom