Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,356
- Thread starter
- #21
hahaha umenifurahisha na huo msemo wa 'automatikale'
huwa nalog kwa kutumia both emails so means hapo ni kama ninazo id mbili kwenye account moja, zinatumika zote na wala hakuna kufa moja, ni system wakiamua tu, ila taarifa ndio zinakuwa the same.
Huko fesibuku sasa, JF twaingia na mails?