Sijui Nimtafune?

Sijui Nimtafune?

Sharing is caring jombaaa
Anataka kurudisha chenchi huyo
 
Kwanini usifikirie kumuoa badala ya kumtafuna?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo binti anaonekana mkarimu sana hadi anataka akulipe fadhila duuh!
siyo mwanafunzi huyo. Nenda uwanja wa fisi utamkuta akikosa soko saa saba anapiga simu.
 
Tuikimbie zinaa usifanye butter Trade exchange of goods for goods mpe ushauri mwambie apige elimu kwani ndo msingi wa maisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom