Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,120
- Thread starter
- #41
Kwahy ttz ni mm kuomba ushauriNdiyo maana chelsea inasuluhu kifala fala

Kwahy ttz ni mm kuomba ushauriNdiyo maana chelsea inasuluhu kifala fala

Inaonekana amenifuatilia kwa kitamboUtakuja tolewa Sadaka kaa hivo hivo kashaona damu yako itampa mabasi ya mkoani 100 kwa mkupuo
Hamna mkuu ili sio Zari ili ni balaaMbona una kopy nyimbo ya Profesa J (zali la mentali) bila kibali au umemuomba?
Hivi shule unafungua lini?
Mi nazan Kitonga anataka yeykitonga kitakuuwa
sinza kuna dada alikua anakula mchongo na wafiraji anajilengesha kwako kama ivo mkifika ghetto mkivua nguo tu zinaibuka njemba zinadai zimekufumania na mke wao wanakubandua, kuna mwamba mmoja aliponea chupuchupu baada ya huyo dada kugundua huyo mshkaji ni kaka wa rafiki yake, dada akamchana acha kupenda maisha ya mteremko utafirwa mdogo wangu vaa fasta utoke, ile jamaa anatoka akakutana na njemba kwenye korido za gesti zikamtolea macho ile kiroho mbaya.Wakuu hapa majuzi kati wakati natoka job naelekea hom majilan fulani hivi ya jion nipo zangu kwa miguu
Mara Kigari kikanipigia honi na kusimama kikitoa ishara niende
Basi nikasogelea hadi hapo
Nilivyo fika pale kuangalia kwenye hiyo gari nimekutana na mmama
Akaniuliza unaelekea wapi nikajibu hom
Akaniomba nimpe kampani kwa kupanda gari yake mzee mzima ni kapanda basi stoli za hapa na pale
Zikaendelea mwisho wa siku tukafika maeneo nikamwambia niachie hapa tukaagana vizuri
Nilichoshangazwa jana katuma text kaka nipigie alafu nikichek namba ngeni nikapiga akajitambulisha mi mtu flan nakuanza kunipa sifa kedeked afu akakata simu
Sikupata muda wa kumuuliza namba umepata wap maana sikuwahi kumpa
Leo tena kanichek kaniuliza uko wapi nikajibu hom akaniambia kaka nina shida nikamuuliza shida gani akasema wewe mtu mzima bhana chukua boda au tax njoo hom utakuja kujua
sasa hapa nipo njia panda sijui niende au nimpotezee ?
Kwenu wakuu
Wazee wa uzi bila picha haunogi ila Baadhi ya text-nimefutaView attachment 2047675
We huoni kama mazingira hatari ayo 😂Kutekwa tena![]()
Kamwe usikubali kwenda zizi la jike lazima yatatokea ya kukudhalilish tu, mwanaume ndo unapanga uwanja na unamleta kimagendo yani mkishafika smu offsinza kuna dada alikua anakula mchongo na wafiraji anajilengesha kwako kama ivo mkifika ghetto mkivua nguo tu zinaibuka njemba zinadai zimekufumania na mke wao wanakubandua, kuna mwamba mmoja aliponea chupuchupu baada ya huyo dada kugundua huyo mshkaji ni kaka wa rafiki yake, dada akamchana acha kupenda maisha ya mteremko utafirwa mdogo wangu vaa fasta utoke, ile jamaa anatoka akakutana na njemba kwenye korido za gesti zikamtolea macho ile kiroho mbaya.
Kwa hiyo huu ni mchongo siosinza kuna dada alikua anakula mchongo na wafiraji anajilengesha kwako kama ivo mkifika ghetto mkivua nguo tu zinaibuka njemba zinadai zimekufumania na mke wao wanakubandua, kuna mwamba mmoja aliponea chupuchupu baada ya huyo dada kugundua huyo mshkaji ni kaka wa rafiki yake, dada akamchana acha kupenda maisha ya mteremko utafirwa mdogo wangu vaa fasta utoke, ile jamaa anatoka akakutana na njemba kwenye korido za gesti zikamtolea macho ile kiroho mbaya.
Dah ili kiwe nnUshauri toa taarifa kwa mkeo ili ulitekwa au kuuzwa wakutafute

Vitafunwa kujitegemeaVitafunwa unaleta au tuinywe kavu kavu?

Pengine anataka niwe mme wake si unajua wengine singooo mazaaKamwe usikubali kwenda zizi la jike lazima yatatokea ya kukudhalilish tu, mwanaume ndo unapanga uwanja na unamleta kimagendo yani mkishafika smu off

Tupe mrejesho je, ulienda? Na kama ulienda je, ulikanyaga? Na ka hukukanyaga kwa nini? Na kama ulikanyaga ilikuwaje? Au kama hukuenda kwa nini?Wakuu hapa majuzi kati wakati natoka job naelekea hom majilan fulani hivi ya jion nipo zangu kwa miguu
Mara Kigari kikanipigia honi na kusimama kikitoa ishara niende
Basi nikasogelea hadi hapo
Nilivyo fika pale kuangalia kwenye hiyo gari nimekutana na mmama
Akaniuliza unaelekea wapi nikajibu hom
Akaniomba nimpe kampani kwa kupanda gari yake mzee mzima ni kapanda basi stoli za hapa na pale
Zikaendelea mwisho wa siku tukafika maeneo nikamwambia niachie hapa tukaagana vizuri
Nilichoshangazwa jana katuma text kaka nipigie alafu nikichek namba ngeni nikapiga akajitambulisha mi mtu flan nakuanza kunipa sifa kedeked afu akakata simu
Sikupata muda wa kumuuliza namba umepata wap maana sikuwahi kumpa
Leo tena kanichek kaniuliza uko wapi nikajibu hom akaniambia kaka nina shida nikamuuliza shida gani akasema wewe mtu mzima bhana chukua boda au tax njoo hom utakuja kujua
sasa hapa nipo njia panda sijui niende au nimpotezee ?
Kwenu wakuu
Wazee wa uzi bila picha haunogi ila Baadhi ya text-nimefutaView attachment 2047675
Uzuri wake naenda na chuma akizingua mbona atajua hajuiWe huoni kama mazingira hatari ayo![]()

Mkuu nilienda ngoja niweke mrejesho hapo juuTupe mrejesho je, ulienda? Na kama ulienda je, ulikanyaga? Na ka hukukanyaga kwa nini? Na kama ulikanyaga ilikuwaje? Au kama hukuenda kwa nini?
Sawa weka updates tunangoja.Mkuu nilienda ngoja niweke mrejesho hapo juu