Sijui nikamle au nimuache

Wakuu hapa majuzi kati wakati natoka job naelekea hom majilan fulani hivi ya jion nipo zangu kwa miguu

Mara Kigari kikanipigia honi na kusimama kikitoa ishara niende
Basi nikasogelea hadi hapo
Nilivyo fika pale kuangalia kwenye hiyo gari nimekutana na mmama
Akaniuliza unaelekea wapi nikajibu hom

Akaniomba nimpe kampani kwa kupanda gari yake mzee mzima ni kapanda basi stoli za hapa na pale
Zikaendelea mwisho wa siku tukafika maeneo nikamwambia niachie hapa tukaagana vizuri

Nilichoshangazwa jana katuma text kaka nipigie alafu nikichek namba ngeni nikapiga akajitambulisha mi mtu flan nakuanza kunipa sifa kedeked afu akakata simu

Sikupata muda wa kumuuliza namba umepata wap maana sikuwahi kumpa

Leo tena kanichek kaniuliza uko wapi nikajibu hom akaniambia kaka nina shida nikamuuliza shida gani akasema wewe mtu mzima bhana chukua boda au tax njoo hom utakuja kujua

sasa hapa nipo njia panda sijui niende au nimpotezee ?

Kwenu wakuu

Wazee wa uzi bila picha haunogi ila Baadhi ya text- nimefutaView attachment 2047675

MREJESHO basi katika kusoma maoni ya wadau ikabidi nivae bomu nikamcheki nikamwambia sina nauli siwezi kuja akaniambia na kutumia basi nikatumiwa

Mpesa kama tsh50 elfu sikwenda kutoa coz ninausafir wangu nikachukua li xxl langu nikatafuta wana wawili nikaenda nao kabla sijafika karibu na mjengo alionielekeza nikawaacha jamaa na kuwapa maelezo mkiona nawabipu mje au mtoe taarifa

Basi nimefika getin nikapiga hodi nikafungulia na mlinzi kidume nikazama ndani kufika ndani nikamkuta mmama kanikalibisha kwa ukarimu

Akaniuliza unatumia kinywaji gani
Asee nilikuwa makini nikamwambia niko sawa

Akaanza nielekeza bwana samahani kwa kukusumbua kiufupi nimetokea kukuelewa sana na nimekufuatilia muda mrefu sana na nilikuwa nawaza nakuanzia wapi na hata hivyo nimevaa ujasiri huu sababu nimetumia kileo

Mr bann kwenye ile kampuni unayofanyika kazi mm ndio muhusika wenu ila huwa sipendigi kujionyesha hata muda ninaokujaga ww unakuwaga umesafiri

Ila kiufupi una sifa za kipekee sana sio siri nimekupenda na sio leo ni tokea unaanza kazi pale

Bas nikakumbuka maana nishawai pata taarifa zake mwanzo ila simkufuatilia sana kutokana na muda mwingi mm ni mtu wa masafa

Basi nikajikuta niko free baada ya kujilidhisha akaniandalia chakula nikapiga tukaenjoy hapa na pale

Japo yeye alitaka gem na mm nikamwambia leo siko vizuri akanielewa na sio nilikuwa niko ovyo kuna wadau humu walinionya nisije kuliwa

Akaniambia kuanzia leo hapa ni kwako muda wowote njoo iwe saa nane usiku au saa mbili na kesho naomba tukutane ofisini kuna sapplaiz nataka nikupe

Mwanaume nikaaga akanisindikiza na kuniacha na neno usisahau ya kuwa nakupenda

Nikapitia jamaa zangu huyo hom
Hivyo tu wakuu hapa
Naingoja kesho tujue nini kitaendelea
HUU NI UONGO NA UCHOCHEZI KAMA PhD ZA MAWAZIRI
 
Hivyo tu wakuu

leo asubuhi nimepigiwa simu na meneja naitajika kazini kuna dharura ........
Tunasubiri mrejesho baada ya kuitwa na meneja ofisini kwa kwa simu ya dharura.
Je, cheo kimepanda? Au mshahara ndio usiseme sasa.
 
Mrejesho wa dharura unahitajika....
 
Mbona mrejesho wa dharura hutoi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom