Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,084
- Thread starter
- #101
Niweke humu au niandike post nyingine maana yalio nikuta makubwaMbona mrejesho wa dharura hutoi.
Niweke humu au niandike post nyingine maana yalio nikuta makubwaMbona mrejesho wa dharura hutoi.
Nikikwambia leo nimeenda kanisa ni utakuwa uongo au ukweli?Punguza uongo...
Lisiti zinakujaLeta risiti
Unakuja usijali jana nilipigwa na kitu kizitoMrejesho wa dharura unahitajika....
Utakua uongo...Nikikwambia leo nimeenda kanisa ni utakuwa uongo au ukweli?
Kwann utakuwa uongo wakati hukunishuhudiaUtakua uongo...
Nauweka MkuuMrejesho umeweka?
Kama ni mengi fungua uzi mwingine ila utashea link yake kwenye Uzi huu.Niweke humu au niandike post nyingine maana yalio nikuta makubwa